babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,279
- 20,819
Kwenye Boxer futa andika VIPWale jamaa walituibia kila kitu,maana ya kila kitu ni kwamba hadi boxer unavuliwa.
Hiyo hiyo vip ile ina rangi ya Rainbow nikagundua sasa ni rangi ya mapunga.Kwenye Boxer futa andika VIP
Mkuu, henzi hizo tulikuwa tunavaa kitu aina ya VIP!
Hivi haya huwa yanaukweli ya kuvuliwa nguo au ni gangaganga tu Sasa hifadhi mlipata wapi..?Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana.
Na bila kuyaongea yataendelea.
Kwenye Mada
Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima.
Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo tukala mpunga wetu ma soda safii.
Tukaanza safari kuitafuta Singida.
Pale kuna kapori fulani na milima alafu njia panda ya Itigi kwenda Singida mnapinda kulia.
Ile tumepinda jioni jioni hivi bus inaenda mdogo mdogo tunaelekea Singida e banaee hapo kati porini haswa.
Tukakuta jamaa wameweka magogo barabarani.
Hamna gari kupita.
Na magari yenyewe yapo?
Ile bado dereva anaangalia namna ya kutoroka majambazi hayo yakatoka maporini huko zikawashwa risasi 2 na gobole hewani tukaambiwa wote tulale chini.
Wale jamaa walituibia kila kitu,maana ya kila kitu ni kwamba hadi boxer unavuliwa.
Sasa hapo tukawa uchi bus zima,wamama wako uchi wanaume uchi. ebana sijui tulifikaje mjini🤣🤣🤣
ila abiria 65 tumeporwa mpk tunaachwa uchi.
Nakumbuka hadi leo ila haiingii akilini
Kama una mkasa wa mabus weka hapa
@Asprin unaitwa huku[emoji1787]Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana.
Na bila kuyaongea yataendelea.
Kwenye Mada
Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima.
Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo tukala mpunga wetu ma soda safii.
Tukaanza safari kuitafuta Singida.
Pale kuna kapori fulani na milima alafu njia panda ya Itigi kwenda Singida mnapinda kulia.
Ile tumepinda jioni jioni hivi bus inaenda mdogo mdogo tunaelekea Singida e banaee hapo kati porini haswa.
Tukakuta jamaa wameweka magogo barabarani.
Hamna gari kupita.
Na magari yenyewe yapo?
Ile bado dereva anaangalia namna ya kutoroka majambazi hayo yakatoka maporini huko zikawashwa risasi 2 na gobole hewani tukaambiwa wote tulale chini.
Wale jamaa walituibia kila kitu,maana ya kila kitu ni kwamba hadi boxer unavuliwa.
Sasa hapo tukawa uchi bus zima,wamama wako uchi wanaume uchi. ebana sijui tulifikaje mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ila abiria 65 tumeporwa mpk tunaachwa uchi.
Nakumbuka hadi leo ila haiingii akilini
Kama una mkasa wa mabus weka hapa
We ulikua umezaliwa kipindi mabus yanatekwa?otherwise kaa kimyaHivi haya huwa yanaukweli ya kuvuliwa nguo au ni gangaganga tu Sasa hifadhi mlipata wapi..?
Dah! Mkuu poleni SanaWe ulikua umezaliwa kipindi mabus yanatekwa?otherwise kaa kimya
Zile nyuzi pale chini zikiachia ulikuwa unaikuta wapi mkuu 😃?Kwenye Boxer futa andika VIP
Mkuu, henzi hizo tulikuwa tunavaa kitu aina ya VIP!
Kifuani, inaelekea shingoni!!Zile nyuzi pale chini zikiachia ulikuwa unaikuta wapi mkuu 😃?
Kivulana cha .com utakijua tu.Hivi haya huwa yanaukweli ya kuvuliwa nguo au ni gangaganga tu Sasa hifadhi mlipata wapi..?
Kivulana cha .com utakijua tu.
Wewe uliza Karagwe msitu wa kimisi kama unaenda benako kupitia nyaishozi land Cruser ya kanisa ilitekwa na sister wa kizungu akala pumbuHivi haya huwa yanaukweli ya kuvuliwa nguo au ni gangaganga tu Sasa hifadhi mlipata wapi..?
[emoji23][emoji23][emoji23] Duh ilikuaje em tupe mkasa!Wewe uliza Karagwe msitu wa kimisi kama unaenda benako kupitia nyaishozi land Cruser ya kanisa ilitekwa na sister wa kizungu akala pumbu
Mh! Hao jamaa hawakupata mkosi kweli..?Wewe uliza Karagwe msitu wa kimisi kama unaenda benako kupitia nyaishozi land Cruser ya kanisa ilitekwa na sister wa kizungu akala pumbu
Unacheka kama mazuri ila ni story fulani inaumiza ila inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23] Duh ilikuaje em tupe mkasa!
Unalikumbuka basi la 'mtaji wa masikini"We ulikua umezaliwa kipindi mabus yanatekwa?otherwise kaa kimya