U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,711 Reaction score 5,641 May 10, 2023 #1 Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel MolokoTurejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African. Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido. Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel MolokoTurejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African. Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido. Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
khaligraph JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 1,147 Reaction score 1,075 May 10, 2023 #2 hii comparison haiko fair kabisa
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,184 Reaction score 5,426 May 10, 2023 #4 ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Pale mtu anapovimbiwa, akili na fahamu huwa zinahama kabisa.
ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Pale mtu anapovimbiwa, akili na fahamu huwa zinahama kabisa.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 May 10, 2023 #5 Msimu wa mihogo umewadia
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 May 10, 2023 #6 ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Upo serious au unatania? Kama upo serious basi haujui mpira labda kama ni uzi wa utani
ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Upo serious au unatania? Kama upo serious basi haujui mpira labda kama ni uzi wa utani
IFRS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 2,920 Reaction score 5,267 May 10, 2023 #7 Madhara ya kukaa kwa shemeji ndio haya Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,711 Reaction score 5,641 May 10, 2023 Thread starter #8 khaligraph said: hii comparison haiko fair kabisa Click to expand... Tumeshindanisha
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 May 10, 2023 #9 duh we jamaa mmoja hujamtendea haki junior
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,593 Reaction score 35,852 May 10, 2023 #10 KA SENGE
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 May 10, 2023 #11 Mi ni Yanga ila kwa akili hizi nyie ndo mnafanya tunatukanwa
Masalakulangwasa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2022 Posts 360 Reaction score 440 May 10, 2023 #12 Tatizo la afya ya akili, kufananisha mchezaji wa UEFA na upuuzi
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,711 Reaction score 5,641 May 10, 2023 Thread starter #13 Mr mutuu said: Mi ni Yanga ila kwa akili hizi nyie ndo mnafanya tunatukanwa Click to expand... Yani kwamba sijakuelewa, kuna tofauti gani, kwani hujui mayele ni mkali kuliko weirghost
Mr mutuu said: Mi ni Yanga ila kwa akili hizi nyie ndo mnafanya tunatukanwa Click to expand... Yani kwamba sijakuelewa, kuna tofauti gani, kwani hujui mayele ni mkali kuliko weirghost
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 May 10, 2023 #14 ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Upuuzi.
ubarinolutu said: Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African... Click to expand... Upuuzi.
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,592 Reaction score 23,209 May 10, 2023 #15 Masalakulangwasa said: Tatizo la afya ya akili, kufananisha mchezaji wa UEFA na upuuzi Click to expand... Azam ndo wametuletea huu ujinga zaman tulikuwa tunaangalia hz game husikii uchafu uchafu kama huu Siku hz nakereka sana kuona mnachek game za watu wenye akili watu wanaleta makelele yao na haya matimu yao ya kilozi
Masalakulangwasa said: Tatizo la afya ya akili, kufananisha mchezaji wa UEFA na upuuzi Click to expand... Azam ndo wametuletea huu ujinga zaman tulikuwa tunaangalia hz game husikii uchafu uchafu kama huu Siku hz nakereka sana kuona mnachek game za watu wenye akili watu wanaleta makelele yao na haya matimu yao ya kilozi
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,592 Reaction score 23,209 May 10, 2023 #16 Tuanze na mishahara yao ndo tutajua yupi mkali
JAPHA ED JF-Expert Member Joined Aug 17, 2016 Posts 795 Reaction score 1,229 May 10, 2023 #17 Acha kumfananisha Viniciuos Junior na Vitu vya ajabu ajabu wewe jina la huyu mwamba liheshimike.
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,470 May 10, 2023 #18 Mimi mikimbio ya Moloko tu ndiyo huwa inaniacha hoi. Kuhusu kumlinganisha na Vini Jr, sitashiriki dhambi hii.
Mimi mikimbio ya Moloko tu ndiyo huwa inaniacha hoi. Kuhusu kumlinganisha na Vini Jr, sitashiriki dhambi hii.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,624 Reaction score 39,995 May 10, 2023 #19 khaligraph said: hii comparison haiko fair kabisa Click to expand... Ni ujinga ujinga tu.
Lamzettttt JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 1,259 Reaction score 3,602 May 10, 2023 #20 Very Good