Anyway muda utaamua. ila usije ukakimbia post zako badaaeWApi nimesema kua;
"nawaza imekuaje timu mbovu kama cape verde kushiriki kombe la Dunia?"
Unaiita timu mbovu kwa matokea gani?
Hata mechi yao na Spain wapo waliosema Cape verde watafungwa nyingi,
Kusema watafungwa na Uruguay huo ni utabiri tu,ni sawa na wale wanaobeti,hiyo ni wishful result.
Kwa hiyo nimemtukana Gaucho?🤣Mpira wa zamani ni mastreika tu ndio walikua wana jukumu la kufunga. Wanaocheza namba zingine kufunga ilikua ziada tu. Kwahiyo tunakosea kuwafananisha na wachezaji wa sasa kwa kigezo cha namba. Kusema Vini kampiku Gaucho ni matusi
Ngoja tuone.Haya sio maneno ya soka,bila shaka umejisahau na kufikiri upo kwenye uzi wa vikoba,
Kwanini hao Nigeria wao ndio wasiibanie Cape Verde? Walishindiwa nini kufanya hivyo?
Haijalishi ni matokea gani watakayo yapata ila Cape verde wameshaweka historia kwenye nchi yao tayari.Anyway muda utaamua. ila usije ukakimbia post zako badaae
Mbona umeanza kuwacha mdogo mdogo ulianza kuwapa ubingwa hapa🤣Haijalishi ni matokea gani watakayo yapata ila Cape verde wameshaweka historia kwenye nchi yao tayari.
Tena tusi kubwa sana. Mchezaji alieufanya ulimwengu uzame kwenye mahaba na mchezo wa soka unamlingamisha na vini.!Kwa hiyo nimemtukana Gaucho?🤣
Kumbe ushiriki wao ni Kwaajili ya kuweka historia na sio kushindania kombe?Haijalishi ni matokea gani watakayo yapata ila Cape verde wameshaweka historia kwenye nchi yao tayari.
Kwa hiyo mkuu kumbe Vini ni mchezaji wa kiwango cha chini mno?Tena tusi kubwa sana. Mchezaji alieufanya ulimwengu uzame kwenye mahaba na mchezo wa soka unamlingamisha na vini.!
Swali la kitoto sana hili,Kumbe ushiriki wao ni Kwaajili ya kuweka historia na sio kushindania kombe?
Natoa jibu kutokana na swali husika na kwa muda husika,Mbona umeanza kuwacha mdogo mdogo ulianza kuwapa ubingwa hapa🤣
Sawa enjoy mkuu🤣Natoa jibu kutokana na swali husika na kwa muda husika,
Hata hilo nalo pia linakushinda kutambua?
Kwani kwa hizo takwimu hapo juu hajawapiku kwa goal contributions?Vini akitaka kuwapiku Dinho na Kaka ashinde World cup na vilevile achukue Ballon'dor!!
Naona umeshindwa kujibu hoja Kwa hoja na umepanic broo!Swali la kitoto sana hili,
Unaonekana umezowea kubishana huko kwenye vijiwe vyenu vya mabodaboda.
Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...Mbona umeanza kuwacha mdogo mdogo ulianza kuwapa ubingwa hapa🤣
Hoja gani uliyoiweka hapa zaidi ya utabiri wa kusema Cape Verde hawawezi kufika 32 bora?Naona umeshindwa kujibu hoja Kwa hoja na umepanic broo!
Pole sana
Umesema hata wasipofika hatua ya 32 Bora tayari wametengeneza historia ya kucheza kombe la dunia ndio nikauliza inamaana cape Verde wao wanashiriki Kwa lengo la kuweka historia na sio kupambania kombe kama nchi zingine?Hoja gani uliyoiweka hapa zaidi ya utabiri wa kusema Cape Verde hawawezi kufika 32 bora?
Au hujui maana ya neno hoja?
Wewe ni hater wa Cape verde kwa mujibu wa comment zako huko juu,nyie ndio mmeshakua braiwashed na majina ya team,Umesema hata wasipofika hatua ya 32 Bora tayari wametengeneza historia ya kucheza kombe la dunia ndio nikauliza inamaana cape Verde wao wanashiriki Kwa lengo la kuweka historia na sio kupambania kombe kama nchi zingine?
Nilitegemea utanipa majibu ya Hilo swali badala yake umepanic
Nimemwambia hawafiki round of 32.Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...
Mpumbavu kama wewe unisamehe nini mimi? Wewe aliyekwambia kua mimi nahitaji msamaha wako ni nani? Kwahiyo unataka JF watu wote wawe wanajadili jambo na kukubaliana wote jambo hilo? Hujui kua JF is an open forums? Unaishi Kijiji gani wewe?Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...