Mwanetu ZILLIONAIRE sijui kama hajachukuliwa demu na cristiano Ronaldo maana Ana hasira nae kinoma 😂Hujamuelewa,hapo amemaanisha Ronaldo de lima wa Brazil,
Na hiyo number 9 sio idadi ya magoli bali ni namba yake ya Jezi kwenye team ya taifa.
Wanachambua juu juu tuWamefanyaje?
Irina Shayk.Mwanetu ZILLIONAIRE sijui kama hajachukuliwa demu na cristiano Ronaldo maana Ana hasira nae kinoma 😂
Achana nao.Wanachambua juu juu tu
Kama ni Yule lazma uumie ilikuwa pisi ile halafu Ronaldo akakupokonya na kuigusa gusa halafu akaitosa 😂Irina Shayk.
Kwa mpira gani alionao wa kumfikisha hatuna ya 32 Bora? Au umekariri droo ya bahati nasibu aliyopata dhidi ya Spain basi unajiaminisha kwamba soccer wanaliweza?Unasema hivyo,wewe ukiwa kama nani na kwa hesabu zipi?
Kati ya mimi na wewe ni nani aliyekariri?Kwa mpira gani alionao wa kumfikisha hatuna ya 32 Bora? Au umekariri drool ya bahati nasibu aliyopata dhidi ya Spain basi unajiaminisha kwamba soccer wanaliweza?
Hata mm nawaza swali kama lako, imekuwaje timu mbovu kama capo Verde kushiriki kombe la dunia? Hata hivyo safari Yao ipo ukingoni na itaanza kuhitimishwa na kichapo kutoka Kwa UruguayKati ya mimi na wewe ni nani aliyekariri?
Kama mtu mwenyewe unaamini issue za "Bahati nasibu" kwenye soka sidhani kama una uwezo wa kujadili soka na mimi,
Kwahiyo walifikaje WC? Au ndio walitumia hiyo bahati nasibu unayoiamini wewe sio?
Nimeleta tu takwimu jinsi zilivyo.Vini anakombe lolote la dunia au mapenzi yamekutia upofu.
Imeniuma migo Ronaldo ameshaichezea.Kama ni Yule lazma uumie ilikuwa pisi ile halafu Ronaldo akakupokonya na kuigusa gusa halafu akaitosa 😂
Soka la zamani lilikuwa la burudani na ushindani mzuri. Timu za taifa kama Brazil, German, France, Italy, Greece, Portugal n.k zilikuwa na vipaji haswa.nilimanisha ilikua ngumu Ronaldinho kufunga magoli mengi wakati Ronaldo delima yupo (namba9)
Na kazi ya gaucho haikua kufunga kufunga ilikua panapolazimika
Muache ajionee mwenyeweKwa mpira gani alionao wa kumfikisha hatuna ya 32 Bora? Au umekariri droo ya bahati nasibu aliyopata dhidi ya Spain basi unajiaminisha kwamba soccer wanaliweza?
Huyo kamaanisha Ronaldo wa Brazil ambaye ana magoli 15Acha kumuongezea magoli GOAT ana 8 goals pekee.
Kwa Ronaldinho hapa Vini JR amewapiga gap.
WApi nimesema kua;Hata mm nawaza swali kama lako, imekuwaje timu mbovu kama capo Verde kushiriki kombe la dunia? Hata hivyo safari Yao ipo ukingoni na itaanza kuhitimishwa na kichapo kutoka Kwa Uruguay
Hao Cape Verde wamebania nafasi ya Nigeria tu.Kati ya mimi na wewe ni nani aliyekariri?
Kama mtu mwenyewe unaamini issue za "Bahati nasibu" kwenye soka sidhani kama una uwezo wa kujadili soka na mimi,
Kwahiyo walifikaje WC? Au ndio walitumia hiyo bahati nasibu unayoiamini wewe sio?
Ana kaza fuvu Tu ila soon atapoteanaMuache ajionee mwenyewe
Hiyo ya Dembele imeniuma na imagine eti anapewa nafasi tena ya kuchukua kwa mara ya pili.Soka la zamani lilikuwa la burudani na ushindani mzuri. Timu za taifa kama Brazil, German, France, Italy, Greece, Portugal n.k zilikuwa na vipaji haswa.
Sasa hivi vipaji vinahesabika saana, average player kama Dembele eti ndiye mchezaji bora wa dunia!!!!!!
Mpira wa zamani ni mastreika tu ndio walikua wana jukumu la kufunga. Wanaocheza namba zingine kufunga ilikua ziada tu. Kwahiyo tunakosea kuwafananisha na wachezaji wa sasa kwa kigezo cha namba. Kusema Vini kampiku Gaucho ni matusiVinícius Jr ameendelea kuandika historia yake taratibu ndani ya kikosi cha Brazil baada ya kuweka rekodi mpya kwenye World Cup kufuatia ushindi wa Brazil dhidi ya Haiti June 19, 2026 (Friday)
Kupitia mechi hiyo, Vinícius sasa amefikisha mabao 4 kwenye World Cup na hivyo kumpita Ronaldinho ambaye alimaliza career yake ya World Cup akiwa na mabao 3.
Lakini si hilo pekee;
Nyota huyo wa Brazil sasa pia amefikisha goal contributions 9 kwenye World Cup:
Mabao 4
Assists 5
Hii inamaanisha kuwa tayari amempita Kaká ambaye alihusika kwenye mabao 8 pekee katika historia yake ya World Cup:
Mabao 5
Assists 3
Rekodi hizi zinaonyesha namna Vinícius anavyozidi kuwa sehemu muhimu ndani ya mfumo wa Brazil kwenye mashindano makubwa huku akiwa bado kijana mdogo.
Haya sio maneno ya soka,bila shaka umejisahau na kufikiri upo kwenye uzi wa vikoba,Hao Cape Verde wamebania nafasi ya Nigeria tu.