Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 926
- 1,365
Hilo haliwezekani.Tunataka kombe tu
Acha kumuongezea magoli GOAT ana 8 goals pekee.Ulitaka Ronaldinho afunge mengi wakati Ronaldo 9 yupo
Kufika round of 32 tu haiwezekani.Cape Verde hili ni kombe letu,
Vozinha 1
Hujamuelewa,hapo amemaanisha Ronaldo de lima wa Brazil,Acha kumuongezea magoli GOAT ana 8 goals pekee.
Kwa Ronaldinho hapa Vini JR amewapiga gap.
Unasema hivyo,wewe ukiwa kama nani na kwa hesabu zipi?Kufika round of 32 tu haiwezekani.
Ooh nimempata right now.Hujamuelewa,hapo amemaanisha Ronaldo de lima wa Brazil,
Na hiyo number 9 sio idadi ya magoli bali ni namba yake ya Jezi kwenye team ya taifa.
nilimanisha ilikua ngumu Ronaldinho kufunga magoli mengi wakati Ronaldo delima yupo (namba9)Acha kumuongezea magoli GOAT ana 8 goals pekee.
Kwa Ronaldinho hapa Vini JR amewapiga gap.
Nikiwa kama shabiki mwenye uzoefu ba pia nikiangalia wapinzani wake kwenye group.Unasema hivyo,wewe ukiwa kama nani na kwa hesabu zipi?
Nimekupata ok vipi assists?nilimanisha ilikua ngumu Ronaldinho kufunga magoli mengi wakati Ronaldo delima yupo (namba9)
Na kazi ya gaucho haikua kufunga kufunga ilikua panapolazimika
Ulijua kama Cape verde angedroo na Spain?Nikiwa kama shabiki mwenye uzoefu ba pia nikiangalia wapinzani wake kwenye group.
Sawa tusubiri migo lakini kwenye suala la ubingwa huwezi kumshawishi mtu yeyote akakuelewa.Ulijua kama Cape verde angedroo na Spain?
Mpira haupo hivyo kijana acha kukariri.
Hata wewe kusema ''Kufika round of 32 tu haiwezekani'' huwezi kumshawishi mtu yeyote akakuelewa.Sawa tusubiri migo lakini kwenye suala la ubingwa huwezi kumshawishi mtu yeyote akakuelewa.
ni 3 pia sisi wachezaji kizazi cha gaucho hatukuwa wanyimi wa kusambaza samba ....vitoto vya kileo hivi havitaki kugawa mpira kwa wachazaji wanawaza kuweka rekodiNimekupata ok vipi assists?
Dah unajua kuwatetea sana hao wachezaji wa zamani.ni 3 pia sisi wachezaji kizazi cha gaucho hatukuwa wanyimi wa kusambaza samba ....vitoto vya kileo hivi havitaki kugawa mpira kwa wachazaji wanawaza kuweka rekodi
Wamefanyaje?Wachambuzi wa soka siku hizi mm