hahaaa! sasa huku ni kupatwa kwa nyumba.Hakuna noma hapo, akifungua dirisha tu anachuma mapapai.
Halafu Ukikutana naye barabarani kapigilia pamba za ukweli..., kama ni mdada kajipodoa mpaka kero, usiku analala dampo.Maisha mengine siyo maisha kabisa yaani nyumba ipo kwenye dampo?
Hapo chacha..Sasa wale jwtz wamefanya usafi wapi?
Tatizo sio nyumba, ni hayo mazingira ambayo wameyatengeneza wenyewe, watu wanavizia usiku wanamwaga takataka popote, asubuhi wanalalamikia serikali kuwa maeneo ni machafu.Mtu akikwambia anaishi Dar usikurupuke kuomba misaada tu wengine wanahitaji kusaidiwa.
Na watu wa huku wanavyojua kujipodoa ukikutana nao unaweza ukaota usiku jinsi walivyojipiga mirangi mingi. Nimejikuta naukumbuka wimbo wa Raymond tuu.Halafu Ukikutana naye barabarani kapigilia pamba za ukweli..., kama ni mdada kajipodoa mpaka kero, usiku analala dampo.
Yaani sasa hivi usifanye kitu watu wanaleta siasa.Halafu mwewe wa CloudsTv akionesha hizi habari tunaambiwa Clouds wanatumiwa kuhujumu halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.