Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Hahaha, kama kwetu Mbagala tu... Hatuchekani, hapa nyumba mbele jalala..kwetu hukoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha, kama kwetu Mbagala tu... Hatuchekani, hapa nyumba mbele jalala..kwetu hukoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Daah!huko pia kwetu doohhh!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha, kama kwetu Mbagala tu... Hatuchekani, hapa nyumba mbele jalala..
Hapo panaitwa kidarajani na sasa hv uchafu umepungua mnoo!hawamwagi tena taka kama mwanzo,kule mbele panaitwa Spenco kama sikosei wanamwaga vinyesi vya jiji zima ngoja Siku za mvua sasa harufu hiyoo!!na watu wanaishi hukoo na pia ukipita utakuta watu wamekaa nje wanakula habari hawana!huko ndo uswahilini sasaaa!!Hivi mtu anaishije hapo
Kweli bado tunasafari ndefuHapo panaitwa kidarajani na sasa hv uchafu umepungua mnoo!hawamwagi tena taka kama mwanzo,kule mbele panaitwa Spenco kama sikosei wanamwaga vinyesi vya jiji zima ngoja Siku za mvua sasa harufu hiyoo!!na watu wanaishi hukoo na pia ukipita utakuta watu wamekaa nje wanakula habari hawana!huko ndo uswahilini sasaaa!!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Yaah!na ndo hali ilivyo!Kweli bado tunasafari ndefu
PoriniSasa wale jwtz wamefanya usafi wapi?
Ila kuna watu wanamaamuzi magumu sana, hapo mtu anakomaa kuishi hapo ili aonekane kwamba naye anaishi dsm huku akitukana wanaoishi mikoaniHapo panaitwa kidarajani na sasa hv uchafu umepungua mnoo!hawamwagi tena taka kama mwanzo,kule mbele panaitwa Spenco kama sikosei wanamwaga vinyesi vya jiji zima ngoja Siku za mvua sasa harufu hiyoo!!na watu wanaishi hukoo na pia ukipita utakuta watu wamekaa nje wanakula habari hawana!huko ndo uswahilini sasaaa!!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Huko Vingunguti na Buguruni hata nyumba ya bure siwezi kuishi. Yaani huko ni uswahilini machafumachufu haswa. Ardhi yake ina chemchem na vile vyoo vya shimo mambo yote yako hewani na hapo pembeni utakuta raia wanapika na kuuziana supu.
wabongo ndo tulivyo kuna maeneo mtihani mengine kama manzese,tandale wee hatari tupu!Ila kuna watu wanamaamuzi magumu sana, hapo mtu anakomaa kuishi hapo ili aonekane kwamba naye anaishi dsm huku akitukana wanaoishi mikoani
Hatar sanawabongo ndo tulivyo kuna maeneo mtihani mengine kama manzese,tandale wee hatari tupu!
ndo maisha karibu uswahiliniHatar sana
Asante mkuu mm kunanitosha mkoani ktk kata ujamaa kijiji cha mtakuja na balozi wetu matatizo dunia .. Karibu sanando maisha karibu uswahilini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] asante nasubiri nihamie DodomaAsante mkuu mm kunanitosha mkoani ktk kata ujamaa kijiji cha mtakuja na balozi wetu matatizo dunia .. Karibu sana View attachment 393426
[emoji1] [emoji1] [emoji1] njoo unachelewa sisi tunakula maisha huku ..[emoji1] [emoji1] [emoji1] asante nasubiri nihamie Dodoma
nakuja next week![emoji1] [emoji1] [emoji1] njoo unachelewa sisi tunakula maisha huku ..
hukujui dar wewe.....endelea kukaa huko namanyere......Dar isikieni tu au mkiona yale yale majengo kwenye bongo muvi mnajua pakali kweli,bora mikoani
Meya wa mji huu ni mbwaVingunguti ya Marekani.
![]()
![]()
![]()
![]()