Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

humu kuna watu walistahili kuzaliza kipindi cha OLD STONE AGE.........hata yafahamishwe vipi hayaelewi.
Uislamu hautasimama kwa upanga na wala hakuna kulazimishana kwenye dini.....sasa iweje matendo ya watu wachache muutukane uislamu?? FIKIRINI KWA VICHWA VYENU MSITULETEE dogmatism
 
We black bat cacico na ciello.mie ni mkristo ila cjapenda kejeli mnazotoa..zinaongeza chuki na mtengamano..tupendane jamani bila kujali iman zetu.
 
Jeshi la polisi halijalala na halijawahi kulala,busara ya jeshi la polisi ndiyo inakufikirisha kama limelala.wanafanya kazi kucha na kutwa kukulinda wewe,usipatwe na woga kila kitu kipo sawa.

Nitalindwaje na mtu ambae yeye mwenyewe anashindwa kujilinda hadi anachinjwa kama kuku.?
 
sasa tu-declare Ijumaa kama siku rasmi ya fujo therefore fujo kuwa sehemu ya ibada yao.
 
Eeh Mungu atuepushie mbali vurugu zinzotunyemelea kama Taifa.. Ameni
 
Ivi inakuaje umetoka kusali, afu unakua na hasira ya kuua na kuiba?

Hii dini mbona inazidi kutia mashaka kuwa ni ya Mnyazi Mungu?
 
Nitalindwaje na mtu ambae yeye mwenyewe anashindwa kujilinda hadi anachinjwa kama kuku.?
Aliye uawa ni askari polisi na si jeshi la polisi,jeshi ni mjumuiko wa askari wanaotekeleza majukumu yanayofanana kijeshi so askari kuuawa ni tatizo lakini haina maana kuwa jeshi halijilindi.kuwa na amni mkuu na ijumaa tulivu!
 
niko hapa makumbusho ya taifa naona gara ya kingora inatokea ikulu inaelekea maeneo hayo
 
Barabara ya kuingilia wizara ya mambo ya ndani imefungwa hadi sasa hivi
 
umesahau leo ni ijumaa!? siku ya wenzetu ya ibada???

Misiktini jamani kuna nini? Mbona wakitoka tu misiktini ndugu zetu roho zinakuwa zimebadilika tofauti na wakati hawajaingia? Lakini kama kweli qu'ran ndo inawataka mfanye hivo basi kuna makosa yalifanyika sehemu na hamkutakiwa kuishi na binadamu wengine!
 
Ivi inakuaje umetoka kusali, afu unakua na hasira ya kuua na kuiba?

Hii dini mbona inazidi kutia mashaka kuwa ni ya Mnyazi Mungu?


Falsafa ya kijapani kwamba panapokuwepo mzozo,pana fursa.Hivyo si kweli kwamba ni waislamu kwani njaa haina dini.
 
Dini inayohamasha vurugu kama hizi ifutwe, tendwa wapi? Aah kumbe sio chama, lol kazi ipo hadi mwaka uishe, mtihani mwingine kwa huyu mpangaji wa hapo magogoni sijui atafanyaje na vile anapenda kuuma na kupuliza! Kotekote anataka, au la akae ukimya upepo huu ujisindikize wenyewe
 
Mchemsho,mzee wa kaya waweza kuta kesho anasafir.Yatapita tu.
 
Back
Top Bottom