Aaaaaaiseeeeee.....duh! Choo si kina-mifunza jamani...
mpango mzima kupiga DEKI chooni...!
sasa je!
hivyo vya uswahilini mkuu...
uzunguni sisi huku tunapitisha ulimi...
mpaka panang'aa afu mambo mengine ndio yanafuata.
Mhh. Nishaogopa ngoja nikimbie nisijeonekana. Ila watu wengine bhana..
hivyo vya uswahilini mkuu...
uzunguni sisi huku tunapitisha ulimi...
mpaka panang'aa afu mambo mengine ndio yanafuata.
duh hiyo ni ndoto au summary ya unachowaza?
Mtoa mada nashkuru kunikumbusha ya kwamba mwezi wa malazani passing away already!
Na wewe hujaacha tabia yako?
Hahahahaha! Angalia na wewe usijekuwa na tabia hii.....Asprin waambie wanikodishe mimi tu tabu yote ya nini hawajui chanya kwa chanya haziendi.
Na wewe umeacha tabia yako??