Vingine raha vingine karaha.

Vingine raha vingine karaha.

Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

attachment.php

Olalaaaaaa uwiiiiiii nimedataaaa
 
huyo msichana wallah mashaallah! Khaaaaaaaaaaa! Hubby hii picha yangu umeitoa wapi jamani, na mi nilishaipeleka makumbusho wakaihifadhi??


Umeona eeee....yaani mpaka nimesahau hata Madame B kaandika nini hapo juu wiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeee....yaani mpaka nimesahau hata Madame B kaandika nini hapo juu wiiiiii

Niandike nini basi,
tunataka mme wenu atuondolee wasiwasi tata uliopo.
Mwaka wa 20,
No :mimba:
No :baby:
tuna wasiwasi.
 
Last edited by a moderator:
hubby mpotezee huyo, anataka kukaguliwa kijanja....


BADILI TABIA n'take radhi,
ntake kukaguliwa kijanja kisa?
Akhuu,
ukaguzi na upekuzi yakinifu wa kutiana majaribuni hata siutaki mwaya,
au hujui kama nina mpango wa kuokoka?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom