Kitu changu.................
Kitu changu.................
Inawezekana nimekumiss wewe ila sema naogopa kuzusha ugomvi maana watu wa humu naona wameniandama sana na roho zao mbaya kisa napendwa lol
Copy kwa The secretary na Bishanga
Arusha teena..i love the city...unataka tangaza ndoa nin?! Lols
Kitu changu.................
Sema aisee
Nimekumiss mshikaji wangu
Dah hebu twende PM tusalimiane kidogo chap.
Miss you The secretary
kipiii?
Nataka ila ntafurahi ukiujulisha umma wewe
Pm mbona huonekani
Hahahahahahahahaaaa,kumbe kweli unaogopa? Au aibu!!
shemeji hujambo vp mambo yenu yametulia?
asante mamy ujumbe nimeupata penda sana veve ladyfurahiakorosho, kuku cheupe, kokomanga, kakakuona
copy: KakaKiiza, Mentor, Bakulutu na my cousin charminglady
asante mamy ujumbe nimeupata penda sana veve ladyfurahia
Hahahaaa naogopa asee lol
Daaaaaarrh..
Nini my dia
Nini my dia