YaaniMimi nina uchungu nao hawa jamaa, najuta kununua king'amuzi chao
Nilikuwa nawakwepa azam lakini sina budi kununua decoder ya azam tv. Continental na digitek ni majanga plus. Decoder zao zina quality ya chini sana, haziweki/zinapoteza kumbukumbu, unaweza ku search channels leo jioni, ukiamka kuwasha tv kesho channels zote zimepotea, inabidi uanze upya. Wanaunganisha channels mpya then after two-three days they're all scrambled, wtf!! Kweli alosema bure ghali alikuwa na akili sana.
Sijui kama zipo decoders zingine zenye quality nzuri, mf. Ting...itabidi nifanye kufuatilia.
Unaizungumziaje Azam TVBure aghali kwa king'amuzi hakuna kama DSTV na kama uwezo wako mdogo nunua ZUKU na pia kama haujiwezi nunua star times....wengine wote hakuna kitu....nikifulia DSTV nalipa kifurushi cha chini 23500 na bado nafurahia na chanels zangu na siku izi kwa kifurushi icho icho nacheki english premium league siku za jumamosi...walahii hakuna kama DSTV hakika
Azam ni mwisho wa matatizo. Mimi nina Dstv na Azam. Ninainjoi zaidi maishaUnaizungumziaje Azam TV
Weeeeee! Tena usijaribu kabisaaaaa! Huku ni janga kubwa zaidi. Bora uende kwingine mkuu.DUUUUH nilipanga kumuhama startimes nije huko continental au digitek kumbe janga acha nikomae hapahapa
Weeeeee! Tena usijaribu kabisaaaaa! Huku ni janga kubwa zaidi. Bora uende kwingine mkuu.
Hamia huku ZukuNajuta kugawa star times yangu.
Niligawa star times nikanunua continental, aisee hii kitu n majanga,
Channels
Well said mkuu,
Hata hii inatokea kila siku.
Kunasiku ntakipasua potelea mbali