Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,424 15,977 Aug 25, 2021 #1 Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you
Mkonowatembo JF-Expert Member Sep 25, 2016 1,083 983 Aug 25, 2021 #3 Muda si mrefu tutaanza kulipia kodi kwa ving'amuzi
ZionGate JF-Expert Member Oct 17, 2012 6,345 2,953 Aug 25, 2021 #4 Natamani nikakipasue kile kin'gamuzi cha Azam nilichonacho huu ni ufala
denooJ JF-Expert Member Mar 31, 2020 18,511 68,141 Aug 25, 2021 #5 Ulongupanjala said: Hadi Kodi ya mbususu itakuja very soon. Wacha watukamue 2025 watu watumie akili kuchagua mbivu na mbichi. Click to expand... No way, huwa wanachaguliwa na wachache, na alishasema hata tusipowachagua wao ndio watatangazwa washindi, dawa ni kuhamia Burundi tu.
Ulongupanjala said: Hadi Kodi ya mbususu itakuja very soon. Wacha watukamue 2025 watu watumie akili kuchagua mbivu na mbichi. Click to expand... No way, huwa wanachaguliwa na wachache, na alishasema hata tusipowachagua wao ndio watatangazwa washindi, dawa ni kuhamia Burundi tu.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,028 54,323 Aug 25, 2021 #7 ngome1838 said: Wapandishe tu mpaka mawinguni Click to expand... Hapendwi Mtu Hapa Inapendwa Pesa By Jiwe ππππππππ€£πππ
ngome1838 said: Wapandishe tu mpaka mawinguni Click to expand... Hapendwi Mtu Hapa Inapendwa Pesa By Jiwe ππππππππ€£πππ
Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,424 15,977 Aug 25, 2021 Thread starter #8 ngome1838 said: Wapandishe tu mpaka mawinguni Click to expand... hahahaahaahhahahaha dah mkuu umetisha
ngome1838 said: Wapandishe tu mpaka mawinguni Click to expand... hahahaahaahhahahaha dah mkuu umetisha
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,373 Aug 25, 2021 #9 Wapandishe tu mpaka mashetani,tumeshachoka
chrisbleez JF-Expert Member Dec 28, 2016 735 1,208 Aug 25, 2021 #11 ZionGate said: Natamani nikakipasue kile kin'gamuzi cha Azam nilichonacho huu ni ufala Click to expand... Mkuu kama upo dar tuwasiliane nikupe ela
ZionGate said: Natamani nikakipasue kile kin'gamuzi cha Azam nilichonacho huu ni ufala Click to expand... Mkuu kama upo dar tuwasiliane nikupe ela
W Wakabambee58 JF-Expert Member Aug 14, 2020 930 1,289 Aug 25, 2021 #13 Planett said: Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you View attachment 1907457 Click to expand... Jamani hata zamani kulikuwa na kodi za TV hivyo mkoloni anaeudi kinyume nyume.
Planett said: Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you View attachment 1907457 Click to expand... Jamani hata zamani kulikuwa na kodi za TV hivyo mkoloni anaeudi kinyume nyume.