Vineral diseases education from doctors and other experienced personel!

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,909
2,112
Greatings my fellow members!

Naomba kuuliza,is it possible for someone to be a vineral diseases carrier?

Is it possible to cure the disease? Which prescription is best for these diseases?

I am in need of your health education in this.

Thank you!

(Vineral diseases=magonjwa ya zinaa yenye tiba kama kisonono na kaswende).
 
Mimi sio daktari ila hiyo lugha ya uliyotumia 'veneral diseases' ni ya zamani sana siku hizi magonjwa hayo yanaitwa Sexually Transimtted Infections (STI), sina majibu ya kidaktari ila kwa uelewa wangu wa kawaida tu hayo magonjwa yasipotibiwa kuna hatua mtu anaweza kuwa na ugonjwa ila haoneshi dalili zozote zile na anaweza kumwambukiza mtu mwingine
 
mtu kuwa carrier kivipi? genetically au carrier kwa maana ya kuwa infectious while asymptomatically?

ishu ya matibabu inategemea na aina ya ugonjwa maana yanatofautiana sana na kuna mengine ni bacterial na mengine ni viral, so inategemea pia na severity na stage ya ugonjwa na how patient presents....

Labda subiri wajuzi wataeleza zaidi
 
Back
Top Bottom