Vinara wa kueneza Udini Tanzania

Vinara wa kueneza Udini Tanzania

Status
Not open for further replies.
kicheka na kima mabua utavunana...serikali ya sasa...kumbuka ile kitu ya mwembe chai chini ya braza Ben na swaiba wake Mahita...kweli waliweza...sasa ni hatari sijui..wacha tuone hao CIA na KGB nao!

walivyouliwa waislam mwembe chai ulishangilia sana eti? Sasa hivi unasagameno!
 
Kwangu mie nyeupe ni nyeupe, nyeusi ni nyeusi. Nitasema ukweli hakuna mtu wa kumwogopa!

N
ajua chloroquine chungu lakini INATIBU leo nitatoa orodha ya baadhi ya watu na RADIO mbalimbali ambazo zinaongoza kwa kueneza udini Tanzania sijajua kama wanajitambua au wanafanya makusuudi.

Asilimia kubwa ya watu wanapatikana Chama cha mapinduzi yani CCM nadhani ndo dhana ile inaendelea ya watu wenye makosa kujificha CCM nina maana Mauzaji wa pembe za ndovu, Mafisadi wote wapo CCM, Wauza unga aka dawa za kulevya wote CCM.

Watu binafsi.
1. Shekhe ponda(Yupo jela now)
2. Nape Nnauye (CCM)
3. Shekh Isango (Radio Iman)

4. Juliana Shonza(CCM)
5. Mtela Mwampamba(CCM)
6. Shekhe Ilunga (MWANZA)
5. Mwigulu Nnchemba

RADIO zinazoongoza kusambaza udini tanzania ni Kama zifuatazo:
1. Radio Iman
2. Clouds Fm (Hawa wanaongoza kwa kutoa air Time kwa watu wanaoeneza udini Tanzania)
3. Radio Uhuru (CCM inahusika moja kwa moja na hii radio kwa kutoa air time kwa hawa watu wanaoeneza udini Tanzania)

Kama kuna mtu anazani kuna mtu anatakiwa kuongezwa au Radio inayotakiwa kuingizwa kwenye hii list ya waeneza udini Tanzania unaruhusiwa kuongeza. Nimeamua kuwataja ili watanzania kwa umoja wetu tuwakemee hawa watu na Taasisi zinazoeneza udini Tanzania kwa nguvu zote bila kuchoka.

Hatuwezi kuwaacha watu wakawa wanendelea kueneza udini nasi tunawachekelea kama serikali imeshindwa kuwadhibiti basi ni zamu yatu watanzania tusiopenda udini kuwakemea hawa watu kwa nguvu zetu zote.

Tumechoka kuona Makanisa yakichomwa moto, Mapadre wakiuwawa, Mashekhe wakimwagiwa tindikali etc kwa sababu ya hawa watu tusimame Tuwakemee

Muongo sana kwako wewe nyeupe ni nyeusi, hukumtaja Kikwete ndio aleiyeueneza udini mwaka 2010 kwenye kampeni zake, au unemuogopa kumtaja? Nitasema ukweli daima uongo kwangu ni unafiki, hata dini yangu ya uislam inakataza unafiki wa kusema uongo

CC Shekhe wangu
Mohamed Said
 
Umemsahau yule askofu aliyetangaza kuwa KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU WA WAKRISTO, na CUF ni chama cha WAISLAM.
 
Upumbavu ukiwa sehemu ya maisha ya mwanadamu, mwanadamu huyo huwa duni kimaisha na kijamii. Dr.Slaa sio Padre, na kama alimsaliti mama yako si jambo la kutulazimisha na wengine tulichukulie kwa mtazamo huo.

sasa mbona unavuja?
 
Muongo sana kwako wewe nyeupe ni nyeusi, hukumtaja Kikwete ndio aleiyeueneza udini mwaka 2010 kwenye kampeni zake, au unemuogopa kumtaja? Nitasema ukweli daima uongo kwangu ni unafiki, hata dini yangu ya uislam inakataza unafiki wa kusema uongo

CC Shekhe wangu
Mohamed Said

nyie ndio mnaopata zero mnamsingizia kawambwa...kwa udini umeanza 2010? Kumbuka mauaji ya mwembe chai.
 
MBONA UMEMSAHAU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA KANISA KATOLIKI ref: DR. JOHN C. SIVALON.
 
Marehemu Ilunga ndio wa kuangaliwa sana. Kama maiti yake itaachwa kuendelea kuzungumza the way it does, soon tutakuwa tabuni, kwani audience yake si yenye ufahamu
Hii nlo ni neno... Tusimlaumu tu huyu shehe, tuwahurumie wale wanaomsilkiiza na kumuamini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Serikali iliyoko Madarakani imechangia kikubwa kuua mifumo ya Usalama wa Nchi hebu Muwatafakari Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ndiyo wenyeviti wa Kamati za Uslama katika Ngazi hizo je Wengi wao wanamudu jukumu hilo?.
 
Jk ndo namba moja hakuna siku amekemea matendo haya kwa kumaanisha. Lakini ipo siku damu ya watu hawa itamnukia. Akumbuke kura alipigiwa na watu wa imani zote na hapo ndipo anapokula hukumu yake. kazi kukenua meno tu.
 
Kwangu mie nyeupe ni nyeupe, nyeusi ni nyeusi. Nitasema ukweli hakuna mtu wa kumwogopa!

N
ajua chloroquine chungu lakini INATIBU leo nitatoa orodha ya baadhi ya watu na RADIO mbalimbali ambazo zinaongoza kwa kueneza udini Tanzania sijajua kama wanajitambua au wanafanya makusuudi.

Asilimia kubwa ya watu wanapatikana Chama cha mapinduzi yani CCM nadhani ndo dhana ile inaendelea ya watu wenye makosa kujificha CCM nina maana Mauzaji wa pembe za ndovu, Mafisadi wote wapo CCM, Wauza unga aka dawa za kulevya wote CCM.

Watu binafsi.
1. Shekhe ponda(Yupo jela now)
2. Nape Nnauye (CCM)
3. Shekh Isango (Radio Iman)

4. Juliana Shonza(CCM)
5. Mtela Mwampamba(CCM)
6. Shekhe Ilunga (MWANZA)
5. Mwigulu Nnchemba

RADIO zinazoongoza kusambaza udini tanzania ni Kama zifuatazo:
1. Radio Iman
2. Clouds Fm (Hawa wanaongoza kwa kutoa air Time kwa watu wanaoeneza udini Tanzania)
3. Radio Uhuru (CCM inahusika moja kwa moja na hii radio kwa kutoa air time kwa hawa watu wanaoeneza udini Tanzania)

Kama kuna mtu anazani kuna mtu anatakiwa kuongezwa au Radio inayotakiwa kuingizwa kwenye hii list ya waeneza udini Tanzania unaruhusiwa kuongeza. Nimeamua kuwataja ili watanzania kwa umoja wetu tuwakemee hawa watu na Taasisi zinazoeneza udini Tanzania kwa nguvu zote bila kuchoka.

Hatuwezi kuwaacha watu wakawa wanendelea kueneza udini nasi tunawachekelea kama serikali imeshindwa kuwadhibiti basi ni zamu yatu watanzania tusiopenda udini kuwakemea hawa watu kwa nguvu zetu zote.

Tumechoka kuona Makanisa yakichomwa moto, Mapadre wakiuwawa, Mashekhe wakimwagiwa tindikali etc kwa sababu ya hawa watu tusimame Tuwakemee

umesahau na redio chochezi ipo mji kasoro bahari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom