Vinara wa jf!

Ni aghalabu kuwakosa hawa jf, nitonye, sweetlady, bagah, nyani ngabu, ashadii, firstlady, boflo, cantalisia, bishanga, walinazi(huyu kaja juzi juzi tu hapa jf lakini yumo), youngmaster, na........,

SALOK,
mambo ya galaxy y pro!
 
Mi mzima SL, Erick nipo nae hapa, kama una ujumbe nipe nimfikishie...
Btw umeona michezo alokuwa anacheza nitty utotoni?! Lol
Nimeona dia...nimeishiwa nguvu kabisa! Erick mpe tu swalamu za upendo wa dhati...
 
Amyner,
nimekumis asee...heb nisalimie wenye wivu waumie!

Mambo b.. Miss u too jamani.. Jana wakati naondoka uliniambia kitu halafu sikusikia. Ile bar yenu ina kelele. What were u saying...?
 
kaka habari yako bana!..namsalim tu shemeji yangu bana...asa uko arusha mm niko dar acha nimtunze shemeji bana!damu isiende mbali!
Unajua dogo una utani mbaya sana...kwanza lazma nifanye kitu upigwe ban
 
Itabidi ni resign niwe housewife dear.. Maana tulikuwa wote just seconds ago, ushanimiss tayari..

Nashangaa..naona bagah analeta shemejishemeji huku mwazima taa...lol
atakula ban we mwache tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom