Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,983
Dengue ni noma, imebadilisha maisha ya uvaaji ghafla, siku hizi ni vigumu mno mitaani kukuta watu wamevaa vimini, pedo na mapensi, kila mu anamwogopa mbu aambukizaye dengue. Fasheni sasa ni nguo ndefu, dengue ni ugonjwa mbaya lakini umesaidia mno kuwaadabisha wengi