Umenikumbusha jamaa mmoja aliniomba ushauri nikashindwa kumshauri.
Jamaa alikuta kabatini karatasi ya maelekezo ikisema hiyo dawa ya maji weka ktk chai au kahawa uchanganye na mkojo wako wa asubuhi kwa siku6 ile dawa nyeusi na utaanza kutumia ukianza hedhi ambayo utachanganya ktk chai pia mchuzi na usisahau kunuia!chumbani mda wa kulala ingia kulala wa mwisho ukishafunga mlango nenda kitandani kwa rivasi yaani kinyume.masharti yalikuwa mengi hadi akaandikiwa asisahau!daa nilichomshauri aende kwa wazee tu hapo kwangu pagumu maana ht sijaoa