rubii,
Kama unamruhusu kuzama uvinza, iweje kumwekea "katone" tu, tena sometimes ni wewe uchovye njiti ya kiberibi kuleee, halafu ndo ukorogee kwenye birika nzima ya chai iwe nongwa? Kumbuka, mshana jr hajakuambia umwekee kikombe kizima. Soma taratiib tu utaelewa.
Lakini rubii, wanasemaga kuwa ukiona wale wanaoruka kimanga, mara nyingi ndio hao hao mafundi stadi wa hiyo kitu. Je, umo??

Maranyingi huhitaji ushirikiano wa mhanga kwakuwa yeye ndio mlengwa lakini hebu niambie nanawoo mtu amekamatwa akakamatika utaanzaje kumwambia? Haya mambo huwa ni magumu sanaKaka mshana ningependa kuuliza je haiwezekani kutengua hizo dawa hadi makali yake yaishe namaanisha una ndugu wa kiume tayar alikua na mke na watoto lakin bahat mbaya ukaona tayar kashakamatwa na nyumba ndogo kaitelekeza family je kuikoa family yake hakuna njia mbadala ya kumrudisha
Mara nyingi ni mpaka nguvu ya dawa iishe
Mmh hakuna lenye mwanzo lisilokosa mwisho... hao waganga wenyewe hufikia mahali wakakosea mashartiMkuu, sasa kama aliyefanyiwa huo uzezeta ni mwanamke, na yote hayo amefanyiwa na mganga wa kienyji ili amsahau mwanaume wake. Swali ni jee, dawa itaishaje hapa? Wakati amefanyiwa na mkulu mwenyewe, kila dawa ikiisha nguvu ana-renew tu.
Asante kwa elimu yako.Karibu. ..!
Ndg. Mshana, kufanyiwa hayo yote na kukamatika bado haizidi nguvu za Mungu.Maranyingi huhitaji ushirikiano wa mhanga kwakuwa yeye ndio mlengwa lakini hebu niambie nanawoo mtu amekamatwa akakamatika utaanzaje kumwambia? Haya mambo huwa ni magumu sana
Unaweza kujitoa mhanga na ukakubali kugombana na ndugu yako kwa muda na shemeji yako pia ili mambo yaweze kurekebishika
Nakubaliana nawe kabisa na kwakweli sikuzingatia hicho kipengeleNdg. Mshana, kufanyiwa hayo yote na kukamatika bado haizidi nguvu za Mungu.
So, MAOMBI/ DUA ya kumaanisha ni suluhisho hata kama angelishwa uchafu wa aina gani.
Ukienda tu kumwambia kwa mdomo mtagombana kwsbb yeye hajui kama kafanywa hivyo na kumbuka atakuwa na mapenzi sanaa kwa aliyemlisha.
But Deliverance Prayers Works.
Nina ushahidi na hilo.
Ndio hayo mambo yapo kwa mitazamo miwili au mitatuAsante kwa elimu yako.
Naomba nitoke nje kidogo ya mada.
Inawezekana mtu akafanyiwa vitu asiweze kumuingilia mwanamke??
Awe akifika tu mlangoni anatema na kuanguka?
Je anawezaje kurudi katika hali yake mtu huyu?
Je ni tatizo la kisakolojia,kiafya au kiimani?
Naomba uzungumzie kiimani zaidi.
Kisaikolojia na kiafya nishapata majibu mengi.
Je,haya mambo yanafanywa sana na makabila yapi?
Msaada wako tafadhali!
Asante!
Juu ya ninihiiiii.Teh!! juu ya wapi kaka
Kula malimao bhanaa.Kichefu chefu ulichonipa.
Nahisi kutapika.

hatariii

Sasa mkuu...unaweka tu kawaida au kuna maneno unanuia? Nataka kujaribu hiyo. Teh teh...Unanyweshwa bila kujijua unawekewa kidogo tu unasifu kabisa kachai kaleo katamu kweli