Nini madhara yake?Naomba sana Usijaribu sumu haionjwi
senkyuLove charm
vele mach, hiivi umefanya sana utafiti mambo ya kishirikina eeh?Malizia vele mach
toba!!! kivipi mshana? ujue huwa nakufatilia ingawa sio sana maana sometimes nakuogopa (japokuwa sikufaham)Nimeishi nayo kwa muda mrefu sana
Maombi??Mara nyingi ni mpaka nguvu ya dawa iishe