Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Unaweza kufunga shughuli zako,au kuomba ruksa kazini kwako kama tu utasikia au utapewa taarifa kuwa mtu unaemfahamu amefariki au amefiwa na ukaenda msibani hata kama ni mbali
'
Lakini inakua vigumu kufanya hivyo unaposikia anaumwa au anauguliwa
'
Kwanini?
'
Kipi kinauzito mkubwa?
'
Lakini inakua vigumu kufanya hivyo unaposikia anaumwa au anauguliwa
'
Kwanini?
'
Kipi kinauzito mkubwa?