Vimbwanga na vituko vya boss wetu

 
Na ndio mañana wafany

Na ndiomaana wafanyakazi wa private wanaendelea na kutoboa kimaisha. Sababu hakuna comfort zone huko private.
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano........!
Mhhh,wanaendelea vp bro?? Mbons wqna maisha magumu snaa si ndo hawa wanaotukanwa na wahindi kila siku??
 
Dah kuna bosi wangu au niseme meneja ila ndo taita pale wa kampuni
Siku moja akawa ananituma supu na anajua me ni rastaman bas akinipa elfu 5 nanunua ya buku 2500
akawa anamaind mpaka akaacha kunituma mwenyewe kudadeek!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…