Je shanga za viunoni nazo kazuia? heeee Makubwa haya mtu asivae anavyojisikia kisa eti bunge loooo.
Huyo naye ana lake jambo, pengine alipigwa kibuti na mmoja wao akaona amwage hadharani.
Maana madada wa safari hii bungeni loooooooo weee acha tu, bongo kumekucha.
Maana akisimama mdada kutoa hoja, macho mwaaaaaaaaaaaaaaaaa
midomo zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
watoto wakali bwana, mmmmh waheshimiwa eeeh.
ama kweli 50 kwa 50 inaleta raha ya pekeeee.
kazi na dawa kwa kwenda mbele