Hii njia ya kulipa posho hutumiwa na makampuni yanayokwepa kodi kwa srikalipia nimechoka kulipwa mshahara nataka nipewe posho kila ninapoenda kazini kama posho za wabunge na si kusubiri mwisho wa mwezi, siku nisipokuja kazini nisipewe posho.
YOU can say that again..
cc snowhite
yaani namaanisha kabisa, lazima nitoke na kampuni at any cost any how, kazi zimekuwa za majungu na mbaya zaidi mimi na wizi ni mbalimbali ambapo ninapoingia kazini (kazi mpya) it doesn't take a month kujikuta nina bunch ya maadui kisa sipigi au siruhusu watu kupiga.
me nimechoka upendeleo unaofanyika chitchat kiasi kwamba wageni hatupati nafasi
nimechoka kuona avatari za uongo na kweli natamani kila mtu aweke picha
nimechoka magari kuishia posta mpya badala ya feri
nimechoka makonda kutulipisha nauli ya buku watu wa kimara kila ifikapo jioni
nimechoshwa na maralia sugu
nimeshoshwa na ahadi ya mpenzi wangu kusema atanioa mpaka atakapokusanya mahari ya em tano
Diamond Penny na Wema nilichoka kuwasikia habari zao!!!!!
wanaume kuwaua wapenzi wao nadhan this year ilikuwa juu
hasa baada ya ishu ya Ufoo
ya Feri we utakuwa unafanya kazi ardhi nahisi
pole sana
chit chat muone mwenyekiti Baba V ....
shida yako imeisha
ok [\The Boss] nitamuona
kuhusu feri sio mimi ninaeteseka ila nawaonea huruma kina mama wachuuzi wa samaki wanatembea kutoka posta hadi feri tangu kituo kisimamishwe
Natamani nikukumbatie.ahsante sana.kwa heshima yako nalog off jf.ili hii iwe comment yangu ya mwisho kuisoma jf kwa mwaka huu.nimechoka na kazi za kuajiriwa 2014 lazima nifungue kampuni yangu hata kama ni ya kuuza maji ya viroba
hao wamama wachuuzi ungewajua walivyo na makusudu kwa wafanyaki njia hiyo
na kuwapaka wenzao shombo usingewaonea huruma