Vile viwanja Ilemela, mambo yanaendaje?

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,325
Points
2,000

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,325 2,000
Wadau ule mradi wa Viwanja Wilaya ya Ilemele Jijinj Mwanza,East Buswelu.

Malipo yapo awamu ya pili kwa sasa,je viliuzwa vyote au kuna vilivyobakia?na waliochukua fomu wakashindwa kurudisha(down payment) imekula kwao?
 

Forum statistics

Threads 1,343,414
Members 515,033
Posts 32,783,933
Top