Sunderland mkuu ,mwaka Fulani kama sikosei 2013 uwanja wao wa nyumbani kwenye mabango maandishi ya visit Tanzania na Ngorongora yalikuwa yanaonekana .Timu gani ya EPL ishatangaza vivutio vya Tz kaka?
Zitto kama ZittoAtasema "Kuspend mabilioni halafu watoto wetu bado wanakaa chini"
Daaah!Hujamwelewa mleta mada! Msingi wa hoja yake anashangaa kwa nini Rwanda wameweza kutoboza mpaka UK kwenye ligi kubwa kama ile kutangaza utalii sisi nini kimetushinda? Hajabeza vivutio walivyo navyo Rwanda. Kumsaidia tu mleta mada ni kwamba miaka ya Lazaro Nyalandu alipokuwa waziri wa utalili tuliweza kuweka tangazo letu kwenye uwanja wa Sunderland (Stadium of light), mkanda ulikuwa unapita ukiwakaribisha watalili kutembelea Tanzania kuja kujionea vivutio vingi kama Serengeti, Ngorongoro n.k Ila sasa hivi tumekwama kwa vile kwenye hiyo wizara tumeweka boga!
Huwezi kumuita mchapa kazi boga. Huyu waziri aliyopo ni wakupewa big up kuliko wengine wote tangia uhuru sababu sasa hivi kila kukicha anavuta tuzo mpya kuja Tanzania, mara best safari coutry, mara serengeti best park in the world, sasa hivi miaka kadhaa mfululizo matuzo yaliokuwa yanaenda Kenya yanakuja Tanzania. Hebu weka tuzo moja huyo uliyemtaja aliwahi kuleta. Kisha uje nikukabidhi tuzo la boga kuu.Hujamwelewa mleta mada! Msingi wa hoja yake anashangaa kwa nini Rwanda wameweza kutoboza mpaka UK kwenye ligi kubwa kama ile kutangaza utalii sisi nini kimetushinda? Hajabeza vivutio walivyo navyo Rwanda. Kumsaidia tu mleta mada ni kwamba miaka ya Lazaro Nyalandu alipokuwa waziri wa utalili tuliweza kuweka tangazo letu kwenye uwanja wa Sunderland (Stadium of light), mkanda ulikuwa unapita ukiwakaribisha watalili kutembelea Tanzania kuja kujionea vivutio vingi kama Serengeti, Ngorongoro n.k Ila sasa hivi tumekwama kwa vile kwenye hiyo wizara tumeweka boga!
Nawasilisha.... Sabato njema
Anamaanisha kwamba;Translation please
Du! Sawa wamekusikiaSijui visit Rwanda sijui visit Tz ni wasting of public money,ruhusu mmea nchi itajitangaza yenyewe watalii washuke kula bata na kuchangia pato.
Mbona tukitangaza huwa husemi Rwanda wanafeli wapi?Wanabodi habari za jumamosi,
Sorry kwa lugha niliyoitumia katika title hapo juu.
Kama mada inavyojipambanua, huwa nikitazama katika vyombo vya habari vikubwa pale Uingereza, mfano BBC au skysport. Wanapokuwa wakiwahoji wanamichezo na makocha mbali mbali, huwa naona TANGAZO"VISIT RWANDA"
Siwachukii wanyarwanda, ila najiulizaga kwani Rwanda kuna kitu gani cha ajabu hata wameweza kujitangaza internationally?
Mbona hapa kwetu bongo kuna kila aina ya vivutio kwanini siioni VISIT TANZANIA? Wahusika wanafeli wapi??????
Nawasilisha.... Sabato njema
Wasanii uchwara? Wasio uchwara ni wapi?Si nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii
Uchwara ni km weweWasanii uchwara? Wasio uchwara ni wapi?
Wasio uchwara ni akina nani hao?Uchwara ni km wewe
WeweWasio uchwara ni akina nani hao?
Mimi sio msaniiWewe
Mimi ni mtanzania, nataka mazuri kwa TANZANIA, yaani TANZANIA iwe mbele ya jirani zetu wote.....Mbona tukitangaza huwa husemi Rwanda wanafeli wapi?
Mara phones zinatengenezwa na Atlas Mara kampuni kubwa toka Botswana i guess.Si nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii