Hata sasa hatujachelewa.. ni kuweka mikakati madhubuti ya kujitangaza tuu...Ila Kenya Nadhani walituzidi mahali kwny marketing,kuna movie ya James Bond niliiona ya mwaka 1960's huko lkn Bond akaitaja Nairobi nikashangaa tu,Kuna Movie nyingine ya Angeline jolie tomb raider 2 naona wali-act hapo Kenya-Amboseli National Park huku wakichukua view nzuri ya Mt. Kilimanjaro na hatukulamba hata senti 1.
Uzalendo tatizo kubwa, kama sivyo basi tuna tatizo kubwa la uelewa, kuitangaza Kenya ndani ya TANZANIA,duu!
Angalia wamarekani, hata kwenye movie zao wanaitangaza marekani hadi unatamani kufika America.
Watanzania tibadilike kwa kweli.
Halafu kina Zitto wakuangalie tu ukifanya hivyo!TANZANIA pia hainabudi kuwekeza fedha kwenye michezo Kama EPL, kwani millions of people wanaangalia mpira. So impact yake ni kubwa sana
Timu gani ya EPL ishatangaza vivutio vya Tz kaka?Kuna kipindi kuna tyimu ya EPL iliukuwa inatangaza vivutio vyetu kwenye matangazo uwanjani kwao..vipi ilichangia kuongezeka kwa watalii kiasi gani?.. Huko London pia nasikia kuna madereva taxi wanatangaza vivutio vyetu...nayo imechangia kiasi gani kuongezeka kwa watalii?
Wabunge mtakao shinda mwaka huu tafadhali jitahihidini kutunga sheria zitazopelekea watanzania kujivunia utanzania wao.US wazee wa the land of opportunity/American dream,jamaa wako very proud na taifa lao kwny kila kitu kizuri kwny movie zao iwe tech/music/kushinda vita lazima uione bendera yao ikipepea.
Hivi mkuu ni kwanini huku bongo kuna sheria ya mtu binafsi hawezi kutumia bendera anavyotaka yeye?Sio kama vile wafanyavyo US wao nyumbani kwao mtu ameweka bonge la bendera nje kwake,Kwny gari kaning'iniza bendera yao tena ile kubwa kishenzi,kwny pikipiki zao fresh kabisa,inasaidia hata kua proud na taifa lako na kujiachia popote pale na bendera yako huku ukiifanyia nchi markering.
Zitto atafanya nini mkuu?Halafu kina Zitto wakuangalie tu ukifanya hivyo!
Atasema "Kuspend mabilioni halafu watoto wetu bado wanakaa chini"Zitto atafanya nini mkuu?
Sometimes wapinzani wanazinguaga kwenye mambo ya maana...Atasema "Kuspend mabilioni halafu watoto wetu bado wanakaa chini"
Timu gani ya EPL ishatangaza vivutio vya Tz kaka?
We ulitaka afanyeje?Si nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii
Rwanda walivyofanya vile walivyowaandama sasa humu jf na mitandao mingine.Sijui 'serikali za Africa ndo zilivyo wananchi wanateseka wenyewe wanafaidisha timu Uingereza',sijui 'PK na Magu wanaendana akili',yaani kila mtu na lake. Hawajui hapo watakachokipata Rwanda in return ni kikubwa.Watalii wao wanazidi kuongezeka na wanazidi kujulikana.Sometimes wapinzani wanazinguaga kwenye mambo ya maana...
Mmh labda.Ila sijawahi kuiona hii.Sunderland AFC
Mmh labda.Ila sijawahi kuiona hii.
Mkuu investment kubwa yeyote lazima ikugharimu katika kufanya marketing. Mwisho wa siku faida yake huwa kubwa vilevile....Rwanda walivyofanya vile walivyowaandama sasa humu jf na mitandao mingine.Sijui 'serikali za Africa ndo zilivyo wananchi wanateseka wenyewe wanafaidisha timu Uingereza',sijui 'PK na Magu wanaendana akili',yaani kila mtu na lake. Hawajui hapo watakachokipata Rwanda in return ni kikubwa.Watalii wao wanazidi kuongezeka na wanazidi kujulikana.
Sipati picha kwa nyuzi zile tungefanya sisi Tz ingekuwaje.Yaani hadi nimechukia siasa.
Asante ngoja niipitie.Kipindi cha JK. Ione hapa..
Sunderland to promote Tanzania through new partnership | SportBusiness Sponsorship
Bila shaka.Mkuu investment kubwa yeyote lazima ikugharimu katika kufanya marketing. Mwisho wa siku faida yake huwa kubwa vilevile....
Hujamwelewa mleta mada! Msingi wa hoja yake anashangaa kwa nini Rwanda wameweza kutoboza mpaka UK kwenye ligi kubwa kama ile kutangaza utalii sisi nini kimetushinda? Hajabeza vivutio walivyo navyo Rwanda. Kumsaidia tu mleta mada ni kwamba miaka ya Lazaro Nyalandu alipokuwa waziri wa utalili tuliweza kuweka tangazo letu kwenye uwanja wa Sunderland (Stadium of light), mkanda ulikuwa unapita ukiwakaribisha watalili kutembelea Tanzania kuja kujionea vivutio vingi kama Serengeti, Ngorongoro n.k Ila sasa hivi tumekwama kwa vile kwenye hiyo wizara tumeweka boga!Dah aisee sjui ulichokiandika unakielewa mwenyewe binafsi,
nimejaribu pengine ndo unachokiamaanisha, kwamba Rwanda hapaswi kujitangaza kwa sababu hawana vivutio?
Tanzania hatujitangazi kama Rwanda ili hali tuna vivutio ving nadhan ndo msingi mkubwa wa swali lako.
Kama ndo msingi mkubwa sioni kama una sababu za kuwa beza Rwanda kujitangaza, Nchi kama Nchi ina vivutio vyake na ina utaratbu wake wakujitangaza.
Kama ilivo Tanzania pia ina platform ya kutangaza vivutio vyake, pengne wewe unataka Tanzania ifanye kama inavofanya Rwanda?
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Nitaendelea kuwashukuru ninyi mnaoelewa maana ya uzi huuHujamwelewa mleta mada! Msingi wa hoja yake anashangaa kwa nini Rwanda wameweza kutoboza mpaka UK kwenye ligi kubwa kama ile kutangaza utalii sisi nini kimetushinda? Hajabeza vivutio walivyo navyo Rwanda. Kumsaidia tu mleta mada ni kwamba miaka ya Lazaro Nyalandu alipokuwa waziri wa utalili tuliweza kuweka tangazo letu kwenye uwanja wa Sunderland (Stadium of light), mkanda ulikuwa unapita ukiwakaribisha watalili kutembelea Tanzania kuja kujionea vivutio vingi kama Serengeti, Ngorongoro n.k Ila sasa hivi tumekwama kwa vile kwenye hiyo wizara tumeweka boga!
Ilikua Sunderland na sio Newcastle.
Sasa hivi upigaji umebadilika tu style,jiulize kwanini Atcl imehamishiwa ofisi kuu ili tu CAG asiguse hesabu zake.
AkuoeWe ulitaka afanyeje?