lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,425
- 1,691
Unakuta muhusika anateseka magonjwa haponi hatembei😂😂 sicheki furaha jamani ila nimewaza tu vile wanadamu tulivyo na roho mbaya
Haya mambo yapo na yanafikirisha sanaView attachment 1510897mchawi mtu mbaya sana, kamfunga hivyo kamba shingoni mikonon, na miguu kamba bila kusahau misumari kamchomeka alafu akatupa baharini.
Unakuta muhusika anateseka magonjwa haponi hatembei[emoji23][emoji23] sicheki furaha jamani ila nimewaza tu vile wanadamu tulivyo na roho mbaya
Huyo ni mgombeaMshana Jr Weka tathmini yako kuhusiana na hiyo picha
Mkuu kwa tafsiri hii umefanunua vizuri mimi mwanzoni sikuwaza hivi. Inaweza kuwa michezo ya siasaHuyo ni mgombea
Kazibwa nyota ya jicho la 3 kwenye paji la uso ili asing'ae
Kafungwa mikono asiweze kufanya chochote
Kafungwa miguu asiweze kusafiri/kutembea
Miguu imepigiliwa misumari asiweze kusimana
Kaachiwa mdomo wa kulalamika maumivu makali
Mwaka ule 2015 nilisikia habari kama hiyo sikuiamini au kuielewa, lakini kutoka kwako gwiji mchambuzi naanza kufikiri upya.Huyo ni mgombea
Kazibwa nyota ya jicho la 3 kwenye paji la uso ili asing'ae
Kafungwa mikono asiweze kufanya chochote
Kafungwa miguu asiweze kusafiri/kutembea
Miguu imepigiliwa misumari asiweze kusimana
Kaachiwa mdomo wa kulalamika maumivu makali
Aisee!! [emoji2817][emoji2817][emoji2817]Huyo ni mgombea
Kazibwa nyota ya jicho la 3 kwenye paji la uso ili asing'ae
Kafungwa mikono asiweze kufanya chochote
Kafungwa miguu asiweze kusafiri/kutembea
Miguu imepigiliwa misumari asiweze kusimana
Kaachiwa mdomo wa kulalamika maumivu makali
Amina.Uchawi hauna nguvu kushinda jina la Yesu
Mshana Jr,hii ni fani yako mkuu,nini ushauri wako??.Haya mambo yapo na yanafikirisha sana
uchawi unamambo mengi sanaView attachment 1510897mchawi mtu mbaya sana, kamfunga hivyo kamba shingoni mikonon, na miguu kamba bila kusahau misumari kamchomeka alafu akatupa baharini.
Unakuta muhusika anateseka magonjwa haponi hatembei😂😂 sicheki furaha jamani ila nimewaza tu vile wanadamu tulivyo na roho mbaya