Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,065
- 1,540
🤣🤣🤣Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Hahahaha ukianza na mguu wa kulia lazima uache uso kwenye lamiNiliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Bado unakiburi kule chumbani..😂Sijaacha wapi?
😂😂 nitaacha na hukoBado unakiburi kule chumbani..😂
Mimi ilikuwa ndo nimeanza chuo, wanaume wanatusitiri Sana japo wanataka na kutukula ila akija msikilize kuliko umletee nyodo walahi utaomba ujifie hapo hapoHapo pa MP iliwahi nikuta O-level and I swear alonishtua tena tukiwa tunaelekea parade ni mtoto wa kiume walaqhi'..!
Nionyeshe ulivyoacha sasa😂😂 nitaacha na huko
Pole mkuu, Kuna harusi nilihudhuria miezi 2 iliyopita, sasa MC kaita mdada aliyependeza
Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app

Naimagine sipati picha.Niliacha kabisa utoto,, sikuumbuka km mtoa mada ila vitukio vidogo dogo au ya wanawake wenzangu yalinitia adabu,, mshukuriwe sana wanaume mnatuokoaga na hizi aibu Basi tu viburi vya uzima ndo vinatuponzagaNmefurahi cheko kama la mr bean ahsante kwa niaba , pongezi kwetu. Wadada wengi huwa wanapuuza wakisemeshwa njiani kwa sababu ya usumbufu lakini ni muhimu sana kumsikiliza mtu kama ataongea utopolo unageuza shingo unaendelea kuprint.
Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
HahahaahahNiliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Haha..Obviously una tako kubwa Carleen, halafu ulivyosema unatoka duniani nikahisi ni huko kwa wenzetu. Tena ukasema umefungua geti, hawa jamaa wa jf hata ukiishi nyumba yenye fence na geti wao hawaishi kuhoji😂😂😂natania tu!
Pole sana, Ila funzo umelipata na kutukumbusha wengine.
Haha..Mimi ndio nilikua na Toyo pale kijiweni, tatizo lako Sawahiba umekua na mikato flani hata ukitupita pale wana hautupi Hi tuishi nayo.
Ila ile siku ungenisikiliza wala usinge aibika vile...😂😅🤣