Umeanza lini kuwa mgumu wa kuelewa somo watu8?
Siamini kama unaweza kuniangusha.....May be ndiyo mbinu zenu za kichokozi za dotcom!
Enzi zetu hata mtu kundondosha kitu mbele yako akainama kukiokota huku kichwa kimeelekezwa kibra ilitosha kuanzisha ligi!!
Hivi kwani sura si sehemu ya mwili?
Heheh...mbona hujanijibu sasa
Haya nakujibu najua jinsi ya kumjua mwanaume.......mhhhh
Ndioooo nimemuona kilambalambila
mkuu happiness win naona kama real madrid na tanzania eleven vile. We uko wapi hapo?
Hahahah...natamani ningelikuwa nakuona namna unavyojibu....basi sawaaaa!!!
Hahahahaha najibuje jamani?mie mbona najibu kawaida tu?????
Hahaha hata siwezi elezea lol
Mhhhhh!!!kwa hiyo unahisi nadanganya au naelezea tofauti?
Waeleza ukweli wala sina shaka...
Sasa kwa kuwa mtoto wa kike umeamua kueleza ukweli ndio nataka niione ila aibu ya kike...curious me lol!!
Hahahahaha katika vitu ambavyo nilinyimwa ni aibu yani nikikueleza ni kama vile askari magereza anamuingiza mfungwa rumande.......lol
mmmh!!! sikubali hadi nione atiii
Hahahahaha uwiiiiii!!!!!!