Viko wapi mwili na kaburi la Kanali Gaddafi?

Viko wapi mwili na kaburi la Kanali Gaddafi?

Vipi unataka ukatambikie?

Shida za kwenu zimeisha mpaka utafute makaburi ya wasiokuhusu?
 
Hawajaweka wazi eneo la maziko yake ili kupoteza historia yake na kutowesha kumbukumbu lake milele, ili vizazi vijavyo wasije wakajifunza kuhusu uthubutu, itikadi, na shabaha ya kiongozi huyo mashuhuri wa Libya.

Mara nyingi wazungu wanafanya hivyo Kwa viongozi waliocha alama katika uongozi wao, na kuleta mabadiliko ya kweli hasa kwa nchi zinazoendelea.

Pumzika Kwa Amani muamar Gaddafi
 
Nikumbushe vizuri, Gadafi aliuliwa na wazungu gani?
Nenda kwanza shule unachelewa,kisha fuatilia kwa muda wako,machafuko ya Libya yalifadhiliwa na nani? msafara wa Gaddafi ulikua unashambuliwa toka juu na ndege za nchi gani kabla ya Gaddafi kukamatwa na kuuawa.
 
Hili la Osama fuatilia tena mkuu achana kbs na ile muvi iliotengenezwa kuipumbaza dunia ili kuipitisha sheria ya Ugaidi duniani kwa manufaa yao sasa na baadae.
Sadam Husein alinyongwa mbele ya dunia ilihali hakuwahi kuidhuru Amerika kwa kiwango tengenezwa cha Osama bin Laden, je ingekuwa kweli Osama ni kubwa la magaidi angefanywaje mbele ya dunia Mmarekani anavyopenda sifa?
NB: Sadam alionewa na kusambaratishwa ndani ya awamu 1 huku Osama akiisumbua Amerika kwa miongo mitatu ya utawala.
Gaddafi aliogopewa hata baada ya kufa,walijua kua,kama watu wangekua wanaliona kaburi lake basi wangehamasika zaidi hata kulipa kisasi,waliogopa kizazi kijacho kuja kuona kaburi la shujaa wao,alizikwa Jangwani tena usiku ili watu wasijue kaburi lake lilipo!

Hata Osama Bin Laden waliitupa maiti yake baharini badala ya kuizika! kwa sababu hizo hizo ambazo ni uoga wa wazungu,

Halafu kutwa wao hao hao wanapiga kelele eti haki za binadamu! Mzungu ataendelea kutuchezea akili mpaka siku tutakapo amua sisi wenyewe kutoka usingizini.
 
Ilikuwa mwaka 2011 ndipo alipoonekana kwa Mara mwisho kiongozi wa zamani wa Libya colonel GADAFI.

Ni katika hotuba zake na pia akiuawa na vikosi vya waasi wakisimamiwa na NATO air Force.

Lakini haikuonekana tena maiti ya Gadafi ikizikwa popote katika ardhi ya Libya ama popote duniani.

Baada ya maelezo haya nawasilisha kwa kuomba kuuliza Tena kwa wanajamii forums
"" VIKO WAPI KABURI NA MWILI WA COLONEL GADAFI?”
Waafrika tunasahau haraka:
Nawakumbusha tu kuwa waafrika wote walioongoza mapigano dhidi ya wakoloni miili yao ama angalau vichwa vyao vilipelekwa ulaya na mpaka sasa wanavishikilia kwa ajili ya historia ya vizazi vyao vijavyo:
Mkwawa
mangi na yule mgoni.


Hivyo basi; masalia ya miili ya Gadafi na Osama yapo museum
 
Kuna siku wataonekana tu ..itakapofika kipindi wanataka kuweka historia wazi watamuonyesha kwenye majumba yao ya historia ikiongozwa na maneno haya HUYU NDIYE ALIEKUWA KIONGOZI WA LIBYA ALIEFANYIA WANANCHI WAKE KILA KITU .. LAKINI KUTOKANA NA WA AFRICA HAWANA AKILI WAKAMUUWA WENYEWE KIONGOZI WAO ...Mi.i nakwambi badae hawa jamaa wa mataifa makubwa wanakuja kuturuka waafrica kwa kuona kila kitu tulikuwa tunataka wenyewe...Ngoja wavune wanavyovitaka vikiisha utaona kama kutakuwa na taifa linalokushobokea ...Hebu naomba kujuzwa pale Somalia kunapatikana nini katika Taifa lile
Petroleum and coal
 
Back
Top Bottom