Walimzika na sensor na wakatumia vipimo vya map reading kufahamu exact place ili siku wakimhitaji wanampataAlizikwa jangwani palichimbwa kaburi akazikwa ktk jangwa wakapitisha greda kuweka flat kama eneo la machimbo then wakasubiri jangwa mpaka likajiweka kawaida na kupoteza kabisa uelekeo wa kaburi lake
Wanawekaga huko mafuvu ya mbwa Kama lile la MtwaKuna siku wataonekana tu ..itakapofika kipindi wanataka kuweka historia wazi watamuonyesha kwenye majumba yao ya historia ikiongozwa na maneno haya HUYU NDIYE ALIEKUWA KIONGOZI WA LIBYA ALIEFANYIA WANANCHI WAKE KILA KITU .. LAKINI KUTOKANA NA WA AFRICA HAWANA AKILI WAKAMUUWA WENYEWE KIONGOZI WAO ...Mi.i nakwambi badae hawa jamaa wa mataifa makubwa wanakuja kuturuka waafrica kwa kuona kila kitu tulikuwa tunataka wenyewe...Ngoja wavune wanavyovitaka vikiisha utaona kama kutakuwa na taifa linalokushobokea ...Hebu naomba kujuzwa pale Somalia kunapatikana nini katika Taifa lile
Gaddafi aliogopewa hata baada ya kufa,walijua kua,kama watu wangekua wanaliona kaburi lake basi wangehamasika zaidi hata kulipa kisasi,waliogopa kizazi kijacho kuja kuona kaburi la shujaa wao,alizikwa Jangwani tena usiku ili watu wasijue kaburi lake lilipo!
Hata Osama Bin Laden waliitupa maiti yake baharini badala ya kuizika! kwa sababu hizo hizo ambazo ni uoga wa wazungu,
Halafu kutwa wao hao hao wanapiga kelele eti haki za binadamu! Mzungu ataendelea kutuchezea akili mpaka siku tutakapo amua sisi wenyewe kutoka usingizini.
Mkuu,umewaza vizuri sana,huenda ukawa upo sahihi.Mimi nakwambia hawa watu wanao wao..hawawezi kusumbuliwa vile wakamfukia kirahisi au kumtupa kama osama..itafika kipindi utaona ukweli tu...
Lengo la kufanya vile hawakutaka kaburi liwepo walijua ingechochea hasira mfano libya ilivyosasa wengi wangeona tabu wapatayo ni kwakuwa wamemuua huenda kaburi lake lingeabudiwa na huenda jamii ingefikilia kurudisha madarakani kizazi chake ndio maana walipoteza kabisa kumbukumbu zake za mwisho na wamarekani kwa kutumia gps wanajua specific alipozikiwa.Walimzika na sensor na wakatumia vipimo vya map reading kufahamu exact place ili siku wakimhitaji wanampata
Ukweli mchungu huu aseeKuna siku wataonekana tu ..itakapofika kipindi wanataka kuweka historia wazi watamuonyesha kwenye majumba yao ya historia ikiongozwa na maneno haya HUYU NDIYE ALIEKUWA KIONGOZI WA LIBYA ALIEFANYIA WANANCHI WAKE KILA KITU .. LAKINI KUTOKANA NA WA AFRICA HAWANA AKILI WAKAMUUWA WENYEWE KIONGOZI WAO ...Mi.i nakwambi badae hawa jamaa wa mataifa makubwa wanakuja kuturuka waafrica kwa kuona kila kitu tulikuwa tunataka wenyewe...Ngoja wavune wanavyovitaka vikiisha utaona kama kutakuwa na taifa linalokushobokea ...Hebu naomba kujuzwa pale Somalia kunapatikana nini katika Taifa lile
MABEBERU SIO WATU WAZURI.Gaddafi aliogopewa hata baada ya kufa,walijua kua,kama watu wangekua wanaliona kaburi lake basi wangehamasika zaidi hata kulipa kisasi,waliogopa kizazi kijacho kuja kuona kaburi la shujaa wao,alizikwa Jangwani tena usiku ili watu wasijue kaburi lake lilipo!
Hata Osama Bin Laden waliitupa maiti yake baharini badala ya kuizika! kwa sababu hizo hizo ambazo ni uoga wa wazungu,
Halafu kutwa wao hao hao wanapiga kelele eti haki za binadamu! Mzungu ataendelea kutuchezea akili mpaka siku tutakapo amua sisi wenyewe kutoka usingizini.
Mpaka leo tu kwa hali waliyonayo lingeshawatia hasira walibyaGaddafi aliogopewa hata baada ya kufa,walijua kua,kama watu wangekua wanaliona kaburi lake basi wangehamasika zaidi hata kulipa kisasi,waliogopa kizazi kijacho kuja kuona kaburi la shujaa wao,alizikwa Jangwani tena usiku ili watu wasijue kaburi lake lilipo!
Hata Osama Bin Laden waliitupa maiti yake baharini badala ya kuizika! kwa sababu hizo hizo ambazo ni uoga wa wazungu,
Halafu kutwa wao hao hao wanapiga kelele eti haki za binadamu! Mzungu ataendelea kutuchezea akili mpaka siku tutakapo amua sisi wenyewe kutoka usingizini.
Nikumbushe vizuri, Gadafi aliuliwa na wazungu gani?Gaddafi aliogopewa hata baada ya kufa,walijua kua,kama watu wangekua wanaliona kaburi lake basi wangehamasika zaidi hata kulipa kisasi,waliogopa kizazi kijacho kuja kuona kaburi la shujaa wao,alizikwa Jangwani tena usiku ili watu wasijue kaburi lake lilipo!