vijiwe vya kuangalizia mechi za cecafa kwa wana chit chat

huko kuna biya......?
zinaanza lini....?....nadhani nitakuwa Nanjilinji......

tutashea vi-bundle vya internate kupost JF lakini mengine kila mtu ajitegemee sawa sawa na mfuko na akipendacho
 
Preta kipo bana kimekaaa kiajabu sana ila wanakisifia mbaya na nishaenda pale bana
 
Last edited by a moderator:
Mungi kamu hiya pliz
amefanyaje
aise hii mpya ndo maana kila siku anasema yuko bugaluu
Erickb52 anatakiwa akaishi TMK, akinatana siku moja labda atapata akili.............. Ukimkosa boogaloo wala usihangaike kumtafutia sehemu nyingine........... utamkuta yupo na Arushaone wanavizia mahali ntakupeleka.......... kama wanabisha naweka ushahidi
 
Ndo maana juzi kati hapa nilimpigia Erickb52 ananiambia eti ana kazi anafuatilia njito na wako na Arushaone kumbe kakzi yenyewe ni hiyo
Aise umenipa jipya leo Mungi hawa vijana wanatakiwa waingie kwenye record ya kunasishwa na hao watu wao
 
Halafu nimepata taarifa kutoka kwa FP kuwa mnatishaji wa TMK ni mwanamke............... sijui kama ana ratiba ya huku ili akaanzie na hawa Arushaone na Erickb52 kuwanatisha.................. ningependa Arushaone na sweetlady wanatane............ then Erickb52 na sweetlady wakanatane tena halafu tunamwita nitonye akashuhudie mnatano
 
halafu Mungi mbona kama naona sweetlady yuko kwako na kwangu naona interest mara tena hapa unaniambia habari za Erickb52 na Arushaone mara Filipo nae yuko kwenye race mbona balaa sasa
 
Last edited by a moderator:
Halafu nimepata taarifa kutoka kwa FP kuwa mnatishaji wa TMK ni mwanamke............... sijui kama ana ratiba ya huku ili akaanzie na hawa Arushaone na Erickb52 kuwanatisha.................. ningependa Arushaone na sweetlady wanatane............ then Erickb52 na sweetlady wakanatane tena halafu tunamwita nitonye akashuhudie mnatano

anko sio vizuri kupenda wenzio wanatane kiasi hicho.....kwanza habari yako.....ulifika salama......?
 
Last edited by a moderator:
Halafu nimepata taarifa kutoka kwa FP kuwa mnatishaji wa TMK ni mwanamke............... sijui kama ana ratiba ya huku ili akaanzie na hawa Arushaone na Erickb52 kuwanatisha.................. ningependa Arushaone na sweetlady wanatane............ then Erickb52 na sweetlady wakanatane tena halafu tunamwita nitonye akashuhudie mnatano
Mungi Mungi, si nilishakuambia lakini mimi sihusiki na ile ishu ya kunatiana?
kama unataka taarifa tu za mambo ya mujini tafuta hawa watoto wa mujini ndo wana kila taarifa... cacico, Madame B, Zinduna, lara 1, na mlongo wangu snowhite..... mimi siyo mtoto wa mujini bwana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom