vijiwe vya kuangalizia mechi za cecafa kwa wana chit chat

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,458
1,225
wakuu na waheshimiwa wa chit chat, kwenu.... yaaa

jamani mie leo napendekeza tupendekeze vijiwe au sehemu ambazo twaweza kuwa hapo na kufurahia mechi za pamoja

mie ningependekeza kwenye malls za mlimani city au quality, wewe unapendekeza wapi na tuanze na mechi ipi?
 

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,458
1,225
Smiling Saint umewapendelea watu wa huko dar tuu na sisi wa hungumalwa aise
hungumalwa itabidi muwatafute na wa mwamashimba, mhande, mwigumbi, mabuki na misasi kama mtaweya mjoin nao, ila sasa kwa umeme wa jenereta labda muende mabuki!
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,195
2,000
hungumalwa itabidi muwatafute na wa mwamashimba, mhande, mwigumbi, mabuki na misasi kama mtaweya mjoin nao, ila sasa kwa umeme wa jenereta labda muende mabuki!
mkuu Smiling Saint mbali sana aise huko maana hungumalwa mpaka mabuki ni balaa sasa itabidi tuwe tunaenda mjini kabisa au tuishie Misungwi pale
 
Last edited by a moderator:

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Pale Kwa Ben Night Club Kighorofani.
Nakati ya Kinondoni B.
Pombe unakunywa bure na kuondoka unapelekwa hadi mlangoni.
But ni Girls Only.
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,524
2,000
Aah MC!! We sharo nn? Viwanja vya soccer bongo vinajulikana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,195
2,000
Last edited by a moderator:

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,195
2,000
Hahahaaa mbona unapasifia Mr Rocky ? Kunanini kipya hapo?
hahahahaha sipasifii bana we nenda kajionee aise
hakuna wala la maana si unajua Arusha na sehem mpya mpya zinavyovamiwa na wakikutana na wale wadada wanaojua kupokea wateja ni balaa Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom