Vijitabia vidogo vidogo vinavyokera..!

Vijitabia vidogo vidogo vinavyokera..!

Kuna katabia ka wanaume wa JF Kujifanya w/anajuana..kutaniana na kila mwanamke wa humu ndani then ukiangalia replies unakutana ke kama anamsorora fulani hivi.

Hii tabia ni mbovu tena ya kujipendekeza. Wanayo wengi ila kuna jamaa lilikuwa linakera balaa this year kapunguza. Shobo kwa mtoto wa kiume sio nzuri
 
Kochokonoa pua mbele za watu hii tabia inakera.

Kujinyoosha mbele za watu huku ukijua kwapa linatema harufu uvundo mtupu kero kweli

Unaenda dukani kununua kitu wakati unauliza bei muuzaji anakuangalia kama kaona kinyesi au mke mwenza hii tabia inakata stimu ya kununua ulichokusudia.

Muuzaji mwenye maneno mengi mpaka unasahau kilichokupeleka dukan nayo tabia mbaya
 
Kutafuna kwa sauti.
Kutoa kamasi kwa naked hands.
Kutema mate hovyo bila kujali eneo na watu waliopo
Akiingia ndani ya daladala tu ni kufunga dirisha bila kuzingatia hali ya hewa ilivyo.
Kutembea na kijiti mdomoni.(Siipendi kabisa).
Kuvuta sigara na mimoshi kupulizia wengine.
Kuongea na simu kwa sauti huku mambo mnayoongea ni too personal!
Kumpa mtu mkono huku ukijua mkono wako una maji maji.
Kutojali pale unapotakiwa kujali.
Mdada kuniomba hela mara tu ya introduction.

Daa!Ni vitabia vingi sana.
 
Mwanamke kulazimisha kuogeshana ni tabia mbaya sana...
 
Namba mbili ni hatari,kuna mfanyakazi mwenzangu anapenda kudakia kila kinachoongelewa
 
Watu kujazana kibandani kwa mangi unashindwa hata kusema nataka condom
 
Tabia ya wachezaji wanaotema mate uwanjani.. Hasa ligi za ulaya.. Hivi wenzao huwa hawayakalii?
 
Wanawake kuwapigia waume za watu siku za jumapili au usiku huku wakijua wako na wake zao. Tafut
 
Kuna kitabia kimeanza cha mtu anaangaika mwezi mzima ili ajue kimchepuko chako
 
kujisifia hii tabia wengi wanayo utakuta mtu anafika home kwako anaanza kujisifia tuu
 
Back
Top Bottom