Vijitabia vidogo vidogo vinavyokera..!

Vijitabia vidogo vidogo vinavyokera..!

Kuna sheria isiyo rasmi miongoni mwa wanaume kwamba ukinikuta nimesimama eneo hili nikienda haja ndogo (mfano kwenye ile mifereji ya maliwatoni au masinki) wewe utasogea mbali na mimi au mimi nitasogea mbali na wewe. Wanaonikera ni yule anayekuja kukaa karibu na wewe kiasi kwamba anakuangalia dushe lako na kasi ya mkojo.

Sijui hua wanawaza nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una kibamia mkuu??
 
Unaenda Kwa machinga badala akuache uchague kitu muongee bei yeye anaanza kukushawishi au tunasema kukutongoza.. Mara ooh CHUKUA hii askari wangu mara aanze kukisifia kitu wakati unayechagua ni wewe.. Me napenda akuache atupe Muda ukitaka kununua ndio yeye aanze kuongea
hahahah! anakuita askari wake, halafu ukiondoka bila kununua anakuona kama kibaka fulani hv amazing...!

Hahaha pitmshai hii Maada nzuri asee nitapata fursa ya kujifunza mengi na kujirekebisha.. Nobody is perfect Lakini zipo tabia zenye mazoea ya kuacha... Ni Maada nzuri Sana na iPa like za kutosha
Yap ni kweli mkuu!
 
Unaenda Kwa machinga badala akuache uchague kitu muongee bei yeye anaanza kukushawishi au tunasema kukutongoza.. Mara ooh CHUKUA hii askari wangu mara aanze kukisifia kitu wakati unayechagua ni wewe.. Me napenda akuache atupe Muda ukitaka kununua ndio yeye aanze kuongea
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo inaboa sana
 
Unawakuta watu wanahitaji huduma unayoitaka wanasubiri kwa ustaarabu mtu anafika anapita moja kwa moja km hao wengine sio watu.
Unafiki nakujidai unamjua mtu zaidi ya ajijuavyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i thought niko mwenyewe.....aseee kumbe tupo wengi...umenichekesha sana mkuu
Ah hiyo tabia inaboa kweli.
 
Tabia ya mtu kukosoa kila kitu ambacho hakijafanywa na yeye, hakosoi kwa mema yeye ni kukosoa tu.
Hata maongezi ya kawaida anakosoa, halafu anatone iliyopanda juu kama yule jamaa anaetangaza matangazo ya watu wanaosubiri ndugu zao stendi ya mkoa Ubungo. Hajui muda wa kupandisha tone wala kupunguza muda wote ni kelele.
Najua upo humu jirekebishe utakosa mengi sana kwa litabia lako.
Samahani lakini sikuchukii ila badilika tu bwana.
 
Kwa lengo la kuwekana sawa, unaweza ukawa unatabia mbaya, ila hujui kama ni mbaya mbele za watu.
Mimi katika kuishi na watu mbalimbali, nimeshuhudia watu wenye tabia tofauti tofauti ila tunavumiliana tu, wakati mwingine tunarekebishana..!

Hizi hapa ni zile chache miongoni mwa nyingi ninazozikumbuka toka kwa watu niliwahi kuishi nao..


  1. Kutumia simu wakati wa kula. Hii nimeiweka ya kwanza kabisa kwa sababu ilikuwa tabia yangu, mama yangu kila alipokuwa akinikemea niliona kama anazingua tu! ila siku nilipokemewa ugenini ndio nikaamini kweli hii ni tabia mbaya, na nikaacha mara moja.
  2. Kutawala mazungumzo. Huyu alikuwa rafiki yangu, classmate, alikuwa anapenda aongee yeye muda wote, hata kama mada haijui vizuri hakupenda kuwa msikilizaji kabisa.
  3. Kutotambua muda wa utani. Hii niliiona kwa watu wengi sana, ila tamzungumzia jamaa yangu mmoja hivi, Rashid (R.I.P), huyu mshikaji alikuwa hawezi kuwa serious, alikuwa hajali mood ya mtu, hajali watu waliokuzunguka muda huo, yeye atakachoona kinafaa kukutania anakisema tu popote wakati wowote.
  4. Kutumia viwakilishi badala ya jina la mtu. Hii nayo niliiona kwa wengi, unakuta mtu analijua jina lako kabisa, lakini anakuita, wewe, huyu, yule.
  5. Kukosoa ovyo ovyo. Sikatai mtu kukosolewa anapokosea, ila unapokosoa hakikisha una lengo la kumuelimisha mkosolewa na sio kumuaibisha au kwa lengo la kujikweza mbele za watu, jambo la kuzingatia zaidi, lugha ya ukarimu itumike.
  6. Kucheka hadi kwenye serious moments. Wengine sijui huwa ni makusudi au sijui ndo hawezi kuzuia kicheko, yaani mtu hatambui nyakati za kuwa serious, kicheko kikija, yeye anacheka tu! ni kweli kuna jambo linaweza kukufurahisha peke yako na ukajikuta umeshindwa kuzuia kicheko, basi ukacheka. Huenda watu wakakuvumilia wakajua ni bahati mbaya tu! ajabu inakujua pale inapoonekana kuwa wewe sasa umekuwa ni mtu wa kuchekacheka kila muda ni wewe tu!
 
mwenye shida amfate mganga
Wote tuna shida.
Wewe una shida ya kujua kama nina kibamia.
Mimi nina shida ya kukuonesha ili unihukumu kama ni kibamia.
Wewe pm namba yako ya whtasapp
 
Wote tuna shida.
Wewe una shida ya kujua kama nina kibamia.
Mimi nina shida ya kukuonesha ili unihukumu kama ni kibamia.
Wewe pm namba yako ya whtasapp
najua una kibamia...ukibisha weka picha hapa tuone[emoji13][emoji13][emoji13]
 
najua una kibamia...ukibisha weka picha hapa tuone[emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nashindwa kuweka hapa kwa sababu sheria inasema ni kosa kutuma vitu amazing kwa hadhara. Hii inabidi iwe kati ya mimi na wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nashindwa kuweka hapa kwa sababu sheria inasema ni kosa kutuma vitu amazing kwa hadhara. Hii inabidi iwe kati ya mimi na wewe
[emoji23][emoji23]haya bwana
 
Back
Top Bottom