Young African
Member
- Nov 8, 2010
- 8
- 0
--wanakashifiana kwwa sababu mkataba wao umekwisha(maneno ya mkosaji)
---km anampenda rafiki ako basi mwache aende..mruhusu kiroho safi...kujifanya mgumu utakuja juta badaye ..mapenz ni sawa na pembe la ng'ombe.........
--ukimkuta amelalana na mwngne basi ujue wewe una mapungufu au labda ni kunguru tu uyo huwez kumfugha wala kumridhisha ..kuruka ruka ni raha kwake.....cha muimu ukimfuma mwulize tu....KWANINI UMEFANYA IVI.....atatoa sababu makin
naona wajielezea wewe kwa sana duuh!!!!
DO t again ......again n again...!!!!!!!!!Huyu Rose 1980 avatar yake y akutubonyezea jicho imenifanya nami nimbonyezee kitufe...sijui kama ni sahihi nilivyofanya........Once a winker always a winker..............................
kwa uelewa wako lazima uone ivo
si kosa lako any way.
apanaaaahh mbona mkali ivo rose??
au tumetupa jiwe gizani
apana
umetupa kwenye mwanga wa koroboi swet hat!!!!!!