Vijitabia Kwenye Mapenzi.

Young African

Member
Nov 8, 2010
8
0
Kuna Baadhi Ya Mambo Nashindwa Kuyaelewa Kabisa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi:

1. Ni kwanini watu wakiachana, Huwa Wenza hukashifiana sana mfano; Mwanaume gane wewe? Mwanamke mwenyewe Mbaya n.k

2. Kama unampenzi wako unampenda sana, Inatokea unamtambulisha kwa Rafiki yako then msichana anatokea kumpenda sana Rafiki kuliko wewe....Unafanyaje?

3. Je msichana anapokudanganya na kulala na mwanaume mwingine ni kwamba Uwezi kazi au?:shocked:
 
--wanakashifiana kwwa sababu mkataba wao umekwisha(maneno ya mkosaji)
---km anampenda rafiki ako basi mwache aende..mruhusu kiroho safi...kujifanya mgumu utakuja juta badaye ..mapenz ni sawa na pembe la ng'ombe.........
--ukimkuta amelalana na mwngne basi ujue wewe una mapungufu au labda ni kunguru tu uyo huwez kumfugha wala kumridhisha ..kuruka ruka ni raha kwake.....cha muimu ukimfuma mwulize tu....KWANINI UMEFANYA IVI.....atatoa sababu makin
 
kwanza karbu sana hapa jf...
wenye tabia hiyo kwa upande wa wanaume mi naweza kusema kuwa hadi mta huyo akiongea mambo hayo ni kwamba hajiamini uanaume wake pia mwanaume rijali huwa haangalii nyuma kama dem ana makosa..
kwa mwanamke uwa wao wanakuwa hawajielewi pia wengi wao huwa ni zarau..
KUBWA ZAIDI KIUKWELI HUWA WAMEMISIANA COZ YA KUWA NA UUSIANO MUDA MREFU..
HIVYO KILA MMOJA ANAKUWA ANAUMIA MOYO.
.
"maumivu ya mapenzi yanazidi msiba:by Banana zoro"
 
--wanakashifiana kwwa sababu mkataba wao umekwisha(maneno ya mkosaji)
---km anampenda rafiki ako basi mwache aende..mruhusu kiroho safi...kujifanya mgumu utakuja juta badaye ..mapenz ni sawa na pembe la ng'ombe.........
--ukimkuta amelalana na mwngne basi ujue wewe una mapungufu au labda ni kunguru tu uyo huwez kumfugha wala kumridhisha ..kuruka ruka ni raha kwake.....cha muimu ukimfuma mwulize tu....KWANINI UMEFANYA IVI.....atatoa sababu makin

naona wajielezea wewe kwa sana duuh!!!!
 
Huyu Rose 1980 avatar yake y akutubonyezea jicho imenifanya nami nimbonyezee kitufe...sijui kama ni sahihi nilivyofanya........Once a winker always a winker..............................
 
Katika wote tulioachana sijawahi kumtukana hata mmoja na wengine nakutana nao kwenye masherehe ya harusi na sehemu nyingine nyingi na tena wengi wameshaolewa na wala sina chuki nao
 
Huyu Rose 1980 avatar yake y akutubonyezea jicho imenifanya nami nimbonyezee kitufe...sijui kama ni sahihi nilivyofanya........Once a winker always a winker..............................
DO t again ......again n again...!!!!!!!!!
 
Kijana Mwafrika bisha basi hodi...mbona umeingia moja kwa moja hadi chumbani?:nono::nono:
 
Mwanaume wa ukweli hawi ki hivyo, mwanamke akishachukua rafiki yako huyo hafai.!!!!!!!!!!!!! Ukibembeleza una mapungufu makubwa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
FL1
This iko poa
avatar17682_14.gif
 
Heheheeeee Kweli maneno ya mkosaji!
Lakini roho inauma sana hapo alafu ukizingatia Mpo Maeneo ya Pamoja labda kazi,chuo,shule au kwenye Biashara panakuwa hapatoshi.

Izo nguvu za kuuliza izo ndio shida!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom