Raha ya mapenzi kupendana sio kupenda tu

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Jan 2, 2023
222
529
Kabla ya kufanya maamuzi ya kuishi na mtoto wa mtu uliza moyo wako na ujiridhishe kwamba unampenda na kisha iulize nafsi yako kuthibitisha kuwa imeridhika kweli kwamba unapendwa na unayempenda

kwanini nasema hivyo ndugu zangu?

kutokana na nafasi yangu nimeshuhudia mengi likiwemo la leo la dada mmoja anayeshindwa afanyeje kumuacha mwanaume anayeishi nae lakini moyo wake umegoma kabisa kumpenda

Bidada akiwa anasimulia hadi analia kwasababu Bwana mkubwa anampenda na anampa kila kitu bimdada lakini shida ya bimdada anasema hafeel kabisa na anamuonea huruma bwanamkubwa kwasababu ki ukweli moyo wake uko sehemu nyingine lakini atafanyaje na tayari ana pete kidoleni aliyovishwa mbele ya kasisi wa kikatoriki na tayari wamebarikiwa watoto mapacha?

ukimuuliza ilikuwaje akaingia kwenye ndoa na sasa anasema moyo haupo utaona kichekesho! Madai yake alikutana nae baada ya kukaa single kwa muda mrefu huku rafiki zake wakimtambishia mashemeji kila siku akawa hana namna jamaa alivyojitokeza hakuwa na pingamizi.

Kwasasa ameshindwa inabidi atulize nafsi na aburudishe moyo wake kwa mwingine anayoona wanaendana

Uliye naye unampenda? Na una uhakika na yeye anakupenda na ana furaha ya kuwa na wewe? Hili ni swali kwa wana ndoa, wenza ili wanaotarajia wapate uzoefu kwenu
 
Kabla hujajiuliza kama kweli unampenda, jaribu kupiga punyeto halafu jiulize. Ukiona bado unampenda bc huyo ndiye.
Hii njia haijawahi niangusha.

Kuna demu nimechat nae usiku kwamba kesho aje tupeane game. Yule demu kusema kweli sijawahi mpenda sema nyege tu za ile siku. Ile tukachatt nikapanda nyege nikawa na MB kadhaa ningaikia Hub.

After nyeto, sikujibu meseji ata moja ya yule demu.
 
Ukikua utayaacha haya, ni wanaume wachache sana wanaweza kusema hawajafanya haya kipindi cha kubarehe kwao hivyo sio mageni kwa wengi
 
Hii njia haijawahi niangusha.

Kuna demu nimechat nae usiku kwamba kesho aje tupeane game. Yule demu kusema kweli sijawahi mpenda sema nyege tu za ile siku. Ile tukachatt nikapanda nyege nikawa na MB kadhaa ningaikia Hub.

After nyeto, sikujibu meseji ata moja ya yule demu.
Aloooooooooo
nyetto iheshimiwe
 
Hii njia haijawahi niangusha.

Kuna demu nimechat nae usiku kwamba kesho aje tupeane game. Yule demu kusema kweli sijawahi mpenda sema nyege tu za ile siku. Ile tukachatt nikapanda nyege nikawa na MB kadhaa ningaikia Hub.

After nyeto, sikujibu meseji ata moja ya yule demu.
Yn tukubali tukatae, huu ndio ukweli kwa mwanaume kujua kama kweli anampenda mwanamke.
 
Back
Top Bottom