Vijimisemo vya zamani

Bize Bize

Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Kulikuwa na vijimisemo enzi zile nikivikumbuka, huwa vinanipa burudani. Vijimisemo kama ''Utabana ngenge - wakimaanisha utakoma! ,du kinaa - yaani hakuna shida, dole tupu - yaani powa tu!! Unakumbuka vimisemo vipi, hebu tupia hapa tukumbushane!!
 
Danga chee kama kusema mambo vipi? adiosi -mambo mengine, amigo- yako pouwa.
 
Hakuna ngwenje - hamna shida,
Mwela, njagu - mapolisi.
 
Kulikuwa na vijimisemo enzi zile nikivikumbuka, huwa vinanipa burudani. Vijimisemo kama ''Utabana ngenge - wakimaanisha utakoma! ,du kinaa - yaani hakuna shida, dole tupu - yaani powa tu!! Unakumbuka vimisemo vipi, hebu tupia hapa tukumbushane!!

tatizo wana, wanaandika kikabila Huang!!!!
 
dunda zako=ondoka zako
yeba =yes
 
Gangwe-mbabe
Pajero- jero au miatano
Kistobe-changu
Juliana-ukimwi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…