Kwiyo Member Joined Mar 9, 2014 Posts 64 Reaction score 11 May 21, 2014 #1 HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!! MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi? BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu
HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!! MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi? BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,629 Reaction score 112,423 May 21, 2014 #2 Kwiyo said: HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!! MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi? BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu Click to expand... kwahiyo kusoma ndio kuijuwa Botswana? wewe unaijuwa mesopotania iko wapi?
Kwiyo said: HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!! MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi? BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu Click to expand... kwahiyo kusoma ndio kuijuwa Botswana? wewe unaijuwa mesopotania iko wapi?
Kwiyo Member Joined Mar 9, 2014 Posts 64 Reaction score 11 May 21, 2014 Thread starter #3 Ipo kabatin pia hahaha
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 21, 2014 #4 hahahahahhaha!!!! morning yangu sijui iko wapi...