Vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli

Unajua watu wengi especially wadada hatuna discipline ya muda. Kuna wakati najikuta nimechelewa tu afu hata kilichonichelewesha sikioni. Mwaka huu nimeanza upyaa, najali muda hatare. Mtusamehe tu eeeh
Ndo mana nikasema mnajilemaza..Coz mnajua hata mkichelewa mtaeleweka tu..Wakati sometimes wala hakuna sababu ya msingi ya kuwachelewesha
 
Ndo mana nikasema mnajilemaza..Coz mnajua hata mkichelewa mtaeleweka tu..Wakati sometimes wala hakuna sababu ya msingi ya kuwachelewesha
Yani unadhani tunafanya makusudi basi, sielewagi hata nini kinanicheleweshaga. Najikuta tu nishachelewa, BTW si nimesema nimeacha jamani, haipendezi of course
 
Ndo mana nikasema mnajilemaza..Coz mnajua hata mkichelewa mtaeleweka tu..Wakati sometimes wala hakuna sababu ya msingi ya kuwachelewesha
kusudi tu coz anajua utamsubiri no way, mbona hawachelewagi mahojiano, tena anajikwatua balaa, ukikutana na mchizi wa bongo onetime nakuacha tutakutana destination
 
hili la wanawake kuchelewa ni kujilemaza tu hasa wanawake wa KIAFRIKA na pengine haswa TANZANIA. Mwanamke wa Tanzania(walio wengi) hata awe na miadi ya business meeting atachelewa tu. kitu hiki ni tofauti kwa wanawake wa mataifa mengine, labda nitoe mfano mmoja: kuwa na miadi na mchina mwanamke iwe kibiashara au miadi yoyote ili, atafikia nusu saa au saa moja kabla.
 
Teh tunaacha jamani

Kaaaazi kwelikweli,,,,,,hivi mnakuwa na nini kwenye suala la muda, utakuta nimekaa nje nakusubiria hautoki unanambia ''baby subiri dakika 0 nakuja''.... mmmh hiyo dakika 0 unakaa dakika kama 10 hivii.. Ukiangalia kile anafanya ndani sasa.,,, unajipambaje dakika zote hizooo;)o_O:eek:
 
11. I have never done this to/with anyone before.

Hahahaa I done heard that a million times....

Especially right after getting some sloppy toppy....

But always in the back of my mind there is always a question mark....how come you're so good at it if you've never done it?
 
Man, tell me about it. I bet even Ms. Monica L. does get caught up in that, when she's doing her thang on another Bill.
 
Kuna wakati mtu anaamua kuachana na maswala ya mapenzi kwanza afanikishe mambo fulani. Wala si kwamba kasusa au anaogopa ataumizwa. Sio mwanamke wala mwanaume
7 na 10 zimenikuta sana! Ila hio namba 10 nimekutana nayo sana lakini haijawahi kuwa kikwazo,in fact huwa napenda mtu akileta swagga hizo.
 
Back
Top Bottom