Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,976
Ndo mana nikasema mnajilemaza..Coz mnajua hata mkichelewa mtaeleweka tu..Wakati sometimes wala hakuna sababu ya msingi ya kuwacheleweshaUnajua watu wengi especially wadada hatuna discipline ya muda. Kuna wakati najikuta nimechelewa tu afu hata kilichonichelewesha sikioni. Mwaka huu nimeanza upyaa, najali muda hatare. Mtusamehe tu eeeh