Vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli

Hahahaa hii no inabidi nifanyiwe maombi...kwa sasa nimekata tamaa kwa nguvu zangu siwezi tena kubadilika
Teh hapa tunahitaji maombi ya mapatano ili kuongeza nguvu zaidi + Au ukichelewa tu kutoka, mtoko unakuwa postponed. Baki ujirembe vizuri
 
yaani ni balaa nyie watu mie almanusura niahirishe na harusi! pamoja na kutoa siku nzima bado alikuwa saloon mpaka ikamlazimu kasisi kutusubiri
 
Heaven haikuwa ni just saloon; ni zile zinazo shughulikia kuwandaa mabibie kwa siku hii maalum ni ma experts tuseme
Na me ndo nasemea hizo hizo, kunakuwaga na maharusi wengi mno, ingawa na wahudumu nao ni wengi tu. First come, first served, so labda wifi alichelewa kufika. Maana mtu unarembwa ukimaliza umemaliza, nini kinakuchelewesha? Labda na foleni za mjini
 
ili kuondoa hizo labda sikuwahi kuuliza mpaka kesho na pale pale kasisis aliniasa ndio uvumilivu ulipotakiwa kuanzia ..........nilisamehe on the basis kuwa it was her special day too
 
Tunashukuru kwa uelewa wako mpendwa
asante lkn ...........pressure ilipanda na kushuka kidogo si unajua umekaa muda wote umetungulia macho geti la kanisa hahahah tena kwa dakika zaidi ya 30! Hadithi zoote ulizozisikia za watu kuachwa makanisani wakisubiri zinakujia taratiiibu kichwani!
 
Namba 3 na Namba 7 kila nnavojitahidi kuzikwepa, ndio nazifuata! daaah, wanawake mko vizuri!
 
kuna mdada nlipotezana nae kwa muda, siku tukakutana kwa bht mby mlimani city, tukaanza upya mawasiliano, baada ya siku 3 tu, alinambia hiyo namba 9! siku mbili baadae, (tar za salary) "simu imepiga shot nikiwa saloon Mwenge, my dear" daaah, nlichoka!
 
utasikia wenyewe wakisema ...........Mwanaume majukumu .....ungekubali tu yaishe mkuu
 
Teh hapa tunahitaji maombi ya mapatano ili kuongeza nguvu zaidi + Au ukichelewa tu kutoka, mtoko unakuwa postponed. Baki ujirembe vizuri
Teh,huwa nasubiriwaa we nikitokea tu naachwa sio kwa kukomeshwa huko lakini haijasaidia,na sio makusudi jamaniii watuelewe tu...
 
Nilifikiri mimi tu ndio mwanume strict! Kwa kweli huwa nawaacha maana huo mtoko ushaharibika mpaka hapo.
 
Back
Top Bottom