Vijana Wenzangu Miaka 14 - 25 Punyeto hatari

Kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe na haihusiani na punyeto Mimi nilianza nikiwa form one kipindi hicho vijarida vya kuingia utu uzima ndo vinasambazwa bure tu hata k nilikuwa siijui ndo kwa mara ya kwanza naiona kwenye kijarida nilikuwa na miaka 12 kipindi hicho nikaanza kujichua kwa kuwa ndiyo mbinu ya kwanza iliyoainishwa kwenye kijarida hicho kiukweli nilipata maumivu makubwa mno(naona kwa kuwa nilikuwa sijakomaa) nikaacha kipindi nipo form 4 nikaikumbuka so nikairudia kwa kasi ya ajabu mpaka nikaitumikia kwa miaka zaidi ya 7 na mpaka naandika muda huu sijawahi kupata shida yoyote kwenye sex wala sijui uume kulegea wala nini tena ndo game imekuwa ya kibabe ...so jiamini ukiwa kwenye game kula kabla ya game pumzika kidogo na ukienda kwenye game usipapatikie k utaaibika mkuu
 
Habari za mchana vijana wenzangu

Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25 kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la Punyeto au kujichua kwa sababu mbalimbali kama zifuatazo

1.Kujiburudisha wao binafsi
2.wengi wanawakuwa mashuleni wanaona bora wajiigize kwenye kujichua kuliko kudeal na wasichana (Mademu)

Mwisho wa siku wengi wanakuwa very addicted na hii kitu na kuona jambo la kawaida vijana wenzangu mimi ni waambie kitu kimoja unapofika umri wa 20 above wengi uwa chuoni, kazini na hivyo upatikanaji wa wasichana ni kama kumsukuma mlevi ila shida inakuja hii punyeto ulioanza zaidi ya miaka 5 iliyopita inaanza kuonyesha madhara yake kama ifuatavyo

1.Uume kushindwa kusimama na ukisimama unalegea
2.kukosa humu ya wanawake na ukiamua kuwa nao hakuna unachofanya

Mwisho naomba nioongee haya

1,Wakuu punyeto ina madhara najua wengi wanaitetea ila sisi wahanga wa hili suala tunalijua kama sio ya mwili (physical) basi ya kiakili (psychological) na kama haujaona sasa subiri yanakuja

2.Matatizo ya wanawake kutoshika mimba na nguvu za kiume hayataisha chanzo kikubwa ni hii punyeto

MIMI NIMEACHA NIPO KUPAMBANA KURUDI HALI YA KAWAIDA NAKUSHAURI ACHA KIJANA MWENZANGU WANAWAKE WENGI WAPO UTAISHIA KUWAANGALIA HAPO MBELENIView attachment 1215755
Mkuu, unaongea haya kwa uzoefu ama ni nadharia ulizosisoma, ama kuzisikia?
 
Shida mnapiga nyeto ka chakula we asubuhi nyeto mchana nyeto jion nyeto..... Pigeni kwa afya angalau mara moja kwa wiki..

Afu kingine mandanganywa na matangazo ya dawa za nguvu za kiume kuwa nyeto moja ya chanzo basi ukiwaza we mpiga nyeto tayari akili inaogopa unawaza nikimtia Aaha itasimama kweli moja kwa moja ushavuruga akili ukipanuklliwa haisimami sababu akili haijatulia....we tuliza akili shoo unapiga ka kawa kama
 
Nakupiga punyeto ina madhara tena Makubwa kama hayajatokea leo basi kesho yatatokea
Shida mnapiga nyeto ka chakula we asubuhi nyeto mchana nyeto jion nyeto..... Pigeni kwa afya angalau mara moja kwa wiki..

Afu kingine mandanganywa na matangazo ya dawa za nguvu za kiume kuwa nyeto moja ya chanzo basi ukiwaza we mpiga nyeto tayari akili inaogopa unawaza nikimtia Aaha itasimama kweli moja kwa moja ushavuruga akili ukipanuklliwa haisimami sababu akili haijatulia....we tuliza akili shoo unapiga ka kawa kama
 
Utakuja kuyaona baadae sio lazima uyaone kwa sasa
Nimeanza form 1 mpaka sasa nipo early 20's sijawahi kuona madhara yake although kwa sasa mara moja kwa miezi 2 sio mbaya na bado nina demu na namkaza vizuri tu.
Unajua nn mkuu saikolojia yako ndo inakuumiza
 
Matatizo ya kisaikolojia nayo yanasababishwa na kuizoea punyeto unaona uchi si kitu tena
Kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe na haihusiani na punyeto Mimi nilianza nikiwa form one kipindi hicho vijarida vya kuingia utu uzima ndo vinasambazwa bure tu hata k nilikuwa siijui ndo kwa mara ya kwanza naiona kwenye kijarida nilikuwa na miaka 12 kipindi hicho nikaanza kujichua kwa kuwa ndiyo mbinu ya kwanza iliyoainishwa kwenye kijarida hicho kiukweli nilipata maumivu makubwa mno(naona kwa kuwa nilikuwa sijakomaa) nikaacha kipindi nipo form 4 nikaikumbuka so nikairudia kwa kasi ya ajabu mpaka nikaitumikia kwa miaka zaidi ya 7 na mpaka naandika muda huu sijawahi kupata shida yoyote kwenye sex wala sijui uume kulegea wala nini tena ndo game imekuwa ya kibabe ...so jiamini ukiwa kwenye game kula kabla ya game pumzika kidogo na ukienda kwenye game usipapatikie k utaaibika mkuu
 
Asante sana kwa somo zuri mkui
NAKAZIA MADHARA YA PUNYETO:

*Kusahau mara kwa mara(kupoteza) kumbukumbu.

*Kuchoka mara Mbeki zaidi ya Mtu aliyefanya mapenzi ya kawaida hata kwa goli 4,5,6.

*Upungufu wa akili.

*Stress baada ya jongoo kushindwa kupanda mtungi na ni aibu/adhabu kubwa sana kwa Mwanaume ktk hili afadhali hata asiishi kabisa duniani 7bu ni Me kwa jina lakini ni Ke kivitendo.

*Vigumu kutongoza kwa kuthaminisha kila Mwanamke na mfano wa Mwanamke feki aliyejijenga katika ubongo kupitia picha/video za uchi.

*Kukosa watoto sababu ya homoni kukosa nguvu za ukomavu wa kutungisha ujauzito maana mbegu ni chache.

*Chukizo kubwa sana kwa Mungu maana gametiume ziliumbwa ili kuwekwa ktk uke kwaajili ya burudani au kutungisha ujauzito.

Kupoteza nguvu kazi kwa kizazi kijacho, Je wajua watoto unaowatupa wangekuja kuwa akina nani hapa duniani wasingetupwa kupitia punyeto?
 
Hongera mkuu uliwezaje na kupona kabisa katika hili
Mimi nilikuwa kama wewe na hakuna aliyewahi na atakayekuja kunifikia rekodi sababu nilikuwa napiga goli 6 kwa siku 1 = 42 goals kwa wiki.

Mungu kaniokoa hivi sasa nina mwaka wa 6 sijui nini maana ya punyeto.

Maombi yanaweza chochote kile chini ya jua.

Punyeto inakufunga kiroho, kisaikolojia na kimwili.

Maombi + mazoezi ya mwili + vyakula vya asili + maji mengi ya kunywa.

Mke niliyenaye kachangia kwa 50% kunihamasisha kisaikolojia kuwa ninaweza hata nilipokuwa nikienda goli 1 tu.

Sasa hivi napiga goli 4 kwa wiki mbali na goli 1 au 2 za dharura akiwa anapika, akiangalia TV na akikaa katika mavazi ya kitandani.

Asante sana Mungu kunitoa utumwani.
 
Kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe na haihusiani na punyeto Mimi nilianza nikiwa form one kipindi hicho vijarida vya kuingia utu uzima ndo vinasambazwa bure tu hata k nilikuwa siijui ndo kwa mara ya kwanza naiona kwenye kijarida nilikuwa na miaka 12 kipindi hicho nikaanza kujichua kwa kuwa ndiyo mbinu ya kwanza iliyoainishwa kwenye kijarida hicho kiukweli nilipata maumivu makubwa mno(naona kwa kuwa nilikuwa sijakomaa) nikaacha kipindi nipo form 4 nikaikumbuka so nikairudia kwa kasi ya ajabu mpaka nikaitumikia kwa miaka zaidi ya 7 na mpaka naandika muda huu sijawahi kupata shida yoyote kwenye sex wala sijui uume kulegea wala nini tena ndo game imekuwa ya kibabe ...so jiamini ukiwa kwenye game kula kabla ya game pumzika kidogo na ukienda kwenye game usipapatikie k utaaibika mkuu
UWONGO WA SGR HUU:

Nimebobea kwenye hiyo dhambi kwa miaka 8 nikipiga goli chache sana ni 4, lakini mara nyingi nilikuwa napiga goli 6 kwa kila siku.

Mikono ina misuli na ukakasi wa ugumu tofauti na ulaini wa uke ulioumbwa kwaajili ya kuingiliwa na uume.

Niliishiwa nguvu za kienyeji na nilinunua sana mitishamba kwa Wamasai hadi kunywa supu za pweza kuepuka aibu ya goli 1 tu mbele za warembo WANYAMWEZI, WAIRAKI, WAMERU, WACHAGA, WAMERU, WAWARANGI/WANYATURU, WASUKUMA.

Punyeto ina madhara kiroho, kimwili, kisaikolojia kwa 75% kwa Mwanaume.
 
Goli 6 mpaka 4 hazijapungua sanaa...Ila sasa hata moja unalitafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Mzee baba pole sana
 
Back
Top Bottom