Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
machupa baba yao hapo dizonga!!!!!!chacha tall mzungu wa kino kakojoa aibu!ally moja sijui nae kafia wapi......watoto wa ilala,magomeni na kino aminia sana katika haya mambo!kwa mkoa tanga ndo noma!mtu kaingia mtu katoka!!!nakumbuka enzi zile pashawar milango ipo wazi watu tulikuwa tunashea risk kila baada ya miezi ni kicheko!tatizo hao machizi darasa hawana tofauti na wenzao wapopo,wako in same business wanafanya mambo makubwa kwao,wabongo misifa tu,wanapataga mkwanja wa maana hakuna wanchofanya,unamkumbuka mtoto wa ilala bachala sasa hivi yuko holand anabeba boksi,mchizi alitua bongo na mnyamwezi kilo 5 1990's!ikawa ni nyoka na mademu kwa kwenda mbele..