Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Kamati yenu ya kampeni inarumbana kwamba mmeacha kunadi ilani yenu kazi kumzungumzia Lowassa tu!
 
UBORA acha kujichekesha mkuu hoja yako hata ukiwa mwehu huitaji kufikiri
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.
Kwa hiyo sisi kama wana JF inatuhusu nini?
 
Tokea kaanza kampeni Lowasa ameuzika kwa wananchi kutumia gharama zao kutengeneza mafuriko kuliko mafuriko ya kukusanywa na kutelekezwa mikutano kiti ambacho hats mkatibu wa chama hicho kuanza kuchoka kwa kukosa malipo ya kukusanyia wasikilizaji
 
Kauli yako ni sahihi wao wamemkataa Lowassa kama alivyomkataa Dr Padri lakini sisi wengi tunamtaka hawamtaki wakae kimya nadhani harakati hizo wamezianza yaelekea posho waliyopewa imeisha waongezewe ili wamkatae vizuri kwa sababu inaelekea hata vichinjio hawana ambavyo vingewasaidia zaidi kumkataa
 
Huo mchezo wakurubuni vijana wa CHADEMA unafanywa na bwana mmoja anaitwa RUTA asiyejua kutunza siri anaropoka tu kwenye mabasi. On his way to Mwanza alikuwa anaongea kwa sauti watu wakatambua ujinga wake.
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.

hivi yale maandamano yenu ya masaburi yaliishia wapi?
 
Hakuna kitu Kama hicho..kuna mamluki ya ccm yanajifanya chadema yanaeneza porojo kila kukicha, dawa ikiwaingia mtanyooka tu mana tayar yashadungwa sindano!!
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
Hujielewi
 
Je kamati ya usalama na maadili kuvunja kanuni na kumkata lowassa ilikuwa haki?rais wa nchi anaposimama na kutangaza wezi wa mabilioni ya shilingi ana uzalendo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom