Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Ccm wanapata shida sana watanzania tumeamua lowasa kumchagua hata mtuambie nini poleni IT masaki
 
Huu uzi umekaa kipashukuna ila kwa kuwa una hasara kwa chadema, na faida kwa ccm, basi Moderator wa JamiiForums wameuacha. Ila ungeondolewa na akina Invisible na Mhariri kama ungekuwa unakikosoa Chama cha Mapinduzi. Mods JF acheni unafiki uchama. Mnajiaharibia. Na ipo wakati mwanahalisi watawapiku kwa mbali kwa sababu ya ujinga wenu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom