Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
 
Hakuna wa kumdanganya hapa. Ccm wanajivika uchadema. Mtaisoma namba.
 
Jina la chadema ni taaaamu mpaka ccm wanalitumia kuombea kura.
Chadema ni kama dini,kila mtu anaweza kujiita ni chadema
 
ccm wanajitekenya na kucheka wenyewe. Angalieni msije wasababishia madhara hao vijana yatakayowagharimu maisha yao kwa posho ya buku 7 toka Lumumba.
 
Mbona vijana km hao wapo wengi ndani ya ccm na mpaka watu wazima wanadai katiba ya ccm ilikiukwa ktk mchakato wa kumpata mgombea urais wamesama wapo ccm lakini kura kwa Lowasa hata mikakati yote ya ccm tunaipita toka kwao hata makufuli analijua hilo
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.

Kundi la mashga na wshka kuta nyambfu zenu
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.
Acha kutuongelea sisi vijana waadilifu na wenye nia ya "Mabadiliko" ambao tupo ndani na nje ya CCM..Hatuitaki tena CCM na sasa Tunamchagua Edward Ngoyai Lowassa.
 
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.

hiyo haisaidii kitu. Lowassa anawapigakura zaidi ya ml 3 ndani ya CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom