Naamans.kg
Senior Member
- Jan 28, 2013
- 124
- 17
- Thread starter
-
- #41
Vigezo vya kuoa ndio vigezo gani? Kujitosheleza kimaisha?:confused2:
Na huko kupekenyua pekenyua, is it exclusive to bachelors?
Asavali umejisemea kua ni wazo lako, so we won't argue😱hwell:
Hahahaha, Funny {having the right partner} is not in the list{1}umri {2}kuwa rijali {3} kuwa na akili timamu na kuweza kujikim kwa jambo lolote{kufanya kazi ili kijiingizia kipato...n.k
Hahahaha, Funny {having the right partner} is not in the list
Ah, si ndio tunajadili sasa? Wewe umetoa vigezo vya kuoa (according to you)aaaah jamani mi cjamsema m2...haya mawazo yangu 2
Ah, si ndio tunajadili sasa? Wewe umetoa vigezo vya kuoa (according to you)
Na mimi nimeshangaa kukosa "having the right partner" katika vigezo vyako
IMO, it is precisely because people don't take this as the num 1 sign of readiness
that they experience problems once in... #JustSaying
Ni vyako wewe. Kama unaona vinatosha, maana yake vinatoshakwani vigezo vyangu avitoshelezi cio?
Ni vyako wewe. Kama unaona vinatosha, maana yake vinatosha
Kwani ni vigezo vyangu mimi? au ni universal vigezo ndio tuvijadili
I was just finding your vigezo funny and different from mine, basi.
Swala si vijana hawataki kuoa,tatizo siku hizi waolewaji hawapo mabinti wengi wamekuwa wakipenda maisha ya starehe,
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!
Hakuna vigezo vya pamoja vya kuoa kuna wengine wakipata kitanda wanaoa.
Kiranga
Nimeona comments zako moja inasema Kwani kuoa ni lazima? na nyingine inasema Kwani kuolewa ni lazima? Kwani wewe ni ME au KE Mbona hueleweki unautetea upande wa waoaji au waolewaji?
mwambie huyo!
Tatizo waolewaji ndio hawapo!
Swala si vijana hawataki kuoa,tatizo siku hizi waolewaji hawapo mabinti wengi wamekuwa wakipenda maisha ya starehe,
mabinti wengi sawa..ila si wote..bado walio tayari kuolewa wapo weng pia